Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mim ni streetvendor tu wa huku mtaani kwet nimemalza chuo mwaka jana kuna bisness nafkria kuifanya kutoka bongo to south africa biashara yenyew ni kuchukua hv visandales vya kimasai,necless...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
I think everyone knows it's important to save, but how many of us have actual strategies that they use to make sure they save? For instance, I know of a group of friends who meet up and organize...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
Your are here » Home » Business News Kenya launches Islamic banking training Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/business/article/2000105605/kenya-launches-islamic-banking-training...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Makontena ya futi ishirini yanauzwa yapo kinondoni, yalikuwa yakitumika kwa biashara ya kuuzia simu, yana air condition. Bei ni Milion tatu na nusu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi mimi nilianza kufuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya nyumbani tu sio kwa ajili ya biashara. Lakini sasa ivi nimepata mwamko wa kubadilisha, yani nataka kufuga kwa ajili ya biashara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naitaji kuanzisha biashara na ninamtaji wa sh 600,000. Lakini sijui nifanye biashara gani naombeni ushauri nifanye biashara gani Wadau wa JF
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Whatsapp/call me 0714064767 for more information
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Wakuu mimi naamini hapa huwezi kosa unachokitafuta. Mimi ninashida ya kupata namba hizi 15754, 15231 n.k yaani kama zile za Clouds wanazotumia kutuma sms. Shida yangu nataka nitumie kwenye...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
kwa anayejua utaratibu wa namna ya kununua hisa kwenyesoko la DSE
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Poleni na majukum wapendwa. Mwenye uelewa na biashara ya M-pesa,tigo pesa na eatel money anifahamishe. jinsi ya kupata line,gharama za uendeshaji na faida. NAWASILISHA.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, well nlikua naomba kuuliza ni wapi jijini dar es salaam ntapata watu wanaouza sabuni za jumla za aina mbali mbali both local or imports kwa matumizi ya usafi. Nlikua nataka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Maoni Binafsi: Itakuwa vema kama nasi Mifuko yetu ya Penseni itaunganisha nguvu kujiweka tayari kuwekeza michango ya Watanzania kwenye miradi mikubwa ya miundombinu kwa ubia (PPP). UTT-PID...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu hongereni kwa mihangaiko ya kila siku. nina gari yangu toyota allex nataka niuze lakini sielewi wapi naweza iuza kwa haraka. Mwaka: 2004 CC: 1500 Imesajiliwa dar dec 2013 Km: 79000 tu Gari...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Nyegezi,Wilaya ya Nyamaghana Mwanza.kina ukubwa wa square mita 5150.kimepimwa.bei 28milioni.Kwa mawasiliano namba ya simu ni 0757728861 au Email Deogratiusdk3@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Wadau hii ishu ya wakenya kuja bongo kuchukua/kununua mazao ya kilimo kama vitunguu, maharage, mahindi na kupeleka Kenya kufanyia package na kuuza Ulaya inaniumiza sana. Ni kama vile wabongo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu poleni na kazi,nawahi kula lakini ngoja nilseme hili kwenu,hivi ni kwanini kila ikiwa wkend na kila ikifika saa 1 kasoro dakika 5 matangazo yao yanakatwakatwa mpaka taharifa za habari...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
ninauza prado tx lmetembea km104000 engine diseli 1kz manual bei maelewano
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kipo Kigamboni-Somangila karibu na apartments za NSSF, kina ukubwa wa sqm 1100, kipo barabarani. Bei ni maelewano piga 0767928839
0 Reactions
1 Replies
1K Views
twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi kule......kutakuwa hakushikiki baadae...for more info gazeti la mwananchi la tar 21 feb....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Nina taka kuanza biashara ya kununua chupa za plastiki na kusisaga na kuziuza kwenye makampuni yanayohitaji hizo maligafi. Naomba Mnisaidia naweza kupata wapi Mashine za kusaga hizo...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Back
Top Bottom