Gari hii inauzwa na mwenye nayo anaiuza 4.5m haongezi wala kupunguza hata mia ni kwamba mwenyewe anashida kubwa sana hivyo anasema mtu hufaliwa na chake ni pm ili upate gari hii
Mimi ni muajiriwa wa serikali ninatka kuchukua mkopo wa mda mrefu nipate kiasi kikubwa, take home yangu nikama 460000 hivi.
Nishauri niende bank gani ambayo inatoa pesa ndefu kidogo.
Asante
Wadau nipo kwenye mchakato wa kufungua bucha huku moshi kwa sasa bado nafanya uchunguzi kuhusu mahitaji ya hii biashara; nahitaji kujua kwa huku moshi ni wapi wanauza nyama ya ng'ombe kwa...
Nimeweka mada muda si mrefu ikaondolewa na nilikua nimeshaanza kupata comments, naomba kuuliza kuna kitu nilikosea kwenye uandishi wa ile mada au!! kwanini imeondolewa haraka hivyo?
Habari wakuu kwa wale mnaotumia huduma za Vodacom
Mtandao huu wa biashara sasa wamekuwa wahuni, unaponunua kifurushi cha usiku (wajanja night) wanakwambia ni unlimited ingawa si kweli.
Uhalisia...
mimi ni msichana,ni mwanafunzi katika chuo kikuu fulana hapa nchini mwaka wa kwanza napenda kumiliki biashara yangu mwenyewe .lakini tatizo pesa,sina mtaji wa kuniwezesha.kutimiza lengo langu...
The Internet is huge. Most people can agree on that at this point. But most people don't realize how big it is in relation to the global economy. it turns out, the Internet is a huge driver of...
Habari wana JF
Najitaji mtu anayeuza tshirt aina ya jezi ambazo ni original. Aniuzie kwa bei ya jumla, ama anielekeze duka linalouza kwa bei ya jumla.
Nakumbuka nikiwa Dar nilikua nanunua elfu...
Zitto Kabwe
EFD zilianza kutumiwa mwaka 2010 kwa jumla ya wafanyabiashara 16,000 waliosajiliwa kwenye Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT). Mwaka wa fedha 2009/2010, kabla ya EFD, makusanyo ya kodi...
Salam wanajamii. Naomba msaada kwenye hili,,nafikiria kuingia kwenye kilimo cha maharage,kwa anaefahamu msimu,maeneo mazuri kwa kilimo na costs naomba anisaidie,,nilipendelea bagamoyo ila ndo bado...
wakuu heshima yenu, kwa sasa bongo kuna kampuni xa muhindi inayojishughurisha na mchezo wa kubet(kamari) kwenye ligi mbali mbali za ulaya. je unauzoefu wa kucheza au kuchezesha? je inalipa? je...
Salamu wakubwa, naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu malipo kwa paypal, mimi ni mgeni kabisa mambo haya.
Kuna mtu amenielekeza nije kutafuta topic huku jamiiforum lakini inanitoa ushamba nimesechi...
Habari za wanaJF,
1.Naombeni msaada wenu mimi nataka kuanzisha shulke moja makini tu ya computer. Basic Applications na Advanced applications je ni hatua zipi za kusajiri kwa mwenye ufahamu huo...
Je, ni kampuni gani naweza ku itumia kupata gari zilizotajwa hapo juu? Je, itani-kosti bei gani kuzifikisha hpa bongo. Mimi nina 24millions kwa gar zote mbili.
Mwenye info zaid naomba aweke hapa.
Wadau nimevutiwa na hizi gari mbili kwa uwezo wangu siwezi kuchukua zote. Naombeni usharuni nivute ipi kati ya hizo. Ipi inamudu masafa marefu, running cost? Nisaidien wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.