Habari wadau wa maendeleo.
Kuna biashara nataka kuanzisha nipo kwenye mchakato. Lakini nimekwama kiasi cha fedha. Lengo la kuandika thread hii ni Nahitaji mkopo wa 1.5 mill tu. Ntarudisha baada...
Heshima zenu wakuu,
Naomba kuuliza, gharama za kulipia jengo kila mwaka sh. ngapi.? si nyumba ya biashara,
kwa nyumba tu ya kawaida ya kuishi. Na endapo nikachelewesha kulipa, gharama ya faini...
Tunatengeneza pochi nzuri kwa bei nafuu,ikiwa una kitchen party ungependa kumechi na pochi,basi unatupa kipande cha kitambaa kidogo ambacho umeshona gauni/sketi yako then tunakutengenezea...
Sending and receiving money to and from Tanzania has been made easy for Tigo Cash customers as the local telecom firm has launched its cross-border mobile money transfer together with its...
Wakuu salaam
Hivi mtaji wa sh laki 3 itaweza kutosha kufungua kaduka (zamani kiosk), na ni bidhaa gani ya kuweka ambayo unachoweza kuuza kila siku na yenye faida angalau kidogo
Wana jamii forums na wadau wa elimu, kwa heshima na taadhima ninawakaribisha katika chuo chetu cha The Arusha East African Training Institute (TAEATI).Tafadhali soma maelezo zaidi hapa chini...
Salaam;
Naomba msaada kwa anayejua mahali yanakopatikana yale maboksi ya kufungashia keki kwa hapa Dar es salaam, kama nitapata mawasiliano yao au kuelekezwa walipo nitashukuru sana. Asanteni.
Je unayo wood-floor za zamani, na zimechoka ?
Tuna fanya polishing / sanding na mashine. With professional technicians.
Angalia hiyo brochure.
Call 0784 76 87 86
Habari marafiki, naona kama fursa zipo nyingi ila hatuzitumii, nafikiria sehemu zenye uhaba wa maji mtu akiwa na tank la kama lita 5000 hivi akanunua maji kwa supplier akauzia watu wa eneo hilo...
Cc 1295
yr 1998
milage 124100km
tairi imara &sports rim
12-14/litre
inavuta nyuma &4wd_
ipo dar, kinondoni, leo, jsi na jpili.
Ulipo nakuletea, bei tajwa inapungua kidogo sana.
Sababu...
Habarini wakuu, ninatoa huduma ya ushauri wa kitaalamu kwa watu wanaotaka kufanya biashara ya Micro-finance au waliokwenye biashara tayari,nina uzoefu na Elimu ya kutosha.
Huduma nazotoa ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.