Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Home Business Business Uchumi opens two units in Dar es Salaam Share Bookmark Print Rating Uchumi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpaka sasa nimebahatka kua na jumla ya Tsh milion 3, toka zamani nina wazo la kuanzisha saloon ya kiume ambayo ni ya kisasa kabisa na mtaa ninao kaa mpaka sasa ipo saloon moja tu ambayo sio ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf,naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Paypal.
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Nilikuwa natafuta taarifa kuhusu forever living products na GLD. Lakini hata hivyo,sijaelewa zaidi. Nimepata na taarifa kutoka kampuni ya Amezcua au QNET wale watengenezaji wa bio disc. Wao...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Habari JF. Sina nyumba,sina gari wala kiwanja, wapendwa wapi nitapata mkopo wa laki tano usio na dhamana hizo hapo juu, Lengo la mkopo Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa kochi sasa nina shida ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana jf habari zenu wakuu samahani yoyote anayejua ubora wa hio gari hapo juu anijulishe na kwenye showroom itakuwa imesimama bei gani.asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Correspondent 21st February 2010 An apartment From Mlimani City village to Mbezi Beach Suburb, Mikocheni to Masaki, the emerging construction of furnished apartments is driving the...
4 Reactions
66 Replies
14K Views
wapendwa mwenye kujua namna ya kufanya calculations za USED MOTOR VEHICLE VALUATION SYSTEM anisaidie. Gari hii nitalipa ushuru kiasi gani SUZUKI / ESCUDO Model ...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Tafadhalini sana nilisoma hapa kweny jamvi mmoja wa wanajamvi alisema aigundua njia rahisi sana na shortcourt kupata kibali cha kufug kwale na kanga maliasili hapaTanzania. Nnaombeni sana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana JF Habari. Jana maada hii niliipelekwa kwenyejukwaa la "COMPLAINTS" nikashauriwa niilete hapa kwani ndo mahali pake ssahihi. Ni kwamba nimekuwa nikijiuliza swali moja kuhusu uchumi wa nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF nimekuwa nikijiuliza swali moja kuhusu uchumi wa nchi yetu. Mara nyingi nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa deni la nchi linaongezeka kwa kasi. Nikirejea kwa wananchi wa kawaida pindi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bado najiuliza kwanini mbezi kimara haina hata bank moja? Inakuwaje Bank sinaegemea pande nyingine lakini sio kimara Mbezi kimara ina watu wengi lakin haina bank ya kusadia wakzi wa huku...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Wadau, Nami nimeamua kujitosa kulima katika msimu huu, shamba alangu liko kisarawe, nahitaji mbegu za mahindi ambazo ni za muda mfupi kwani mwaka huu inaonekana mvua zitanyesha kwa muda mfupi...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
KQ set to launch Sh3,000 fare carrier in April Share Bookmark Print Rating JamboJet chief executive and managing director Willem Hondius...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wenye uelewa na suala hili,naomba kujua tofauti kati ya biashara yenye registered business name na kampuni. Je unaweza kuwa na biashara yenye business name na baadae kuibadilisha na kuwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanajamvi la biashara. Mimi na ndugu zangu tumeamua kujikwamua kiuchumi tunatengeneza viatu vya matairi( slippers) sasa Ugumu ni kupata hiyo matairi Mabovu ya magari (Matairi makubwa).. kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kenyans growing taste for high end drinks with rising incomes PHOTO | FILE The rising middle class and incomes are seeing more Kenyans...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ninafanya biashara ya m pesa na jamaa yangu fulani, ktk hiyo kaz till zote za kufanyia kaz ni zangu.Tumefanya hii kaz takribani mwaka mmoja na mtendaji wa kaz ni mimi muda wote,ilitokea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
sio kuwa nawadharau wabongo lakini kiukweli kwenye ishu ya matangazo ya biashara kenya wako vizuri mno. Matangazo yao ni mafupi yanayovutia na kuleta ujumbe Maridhawa. Si vibaya tukaiga kilicho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninazo Hekta takribani 100 huko serengeti jirani kabisa na eneo la mwekezaji yule mwenye singita (sasakwa) hotel na ile ya bilila (hotel kubwa tz) eneo lafaa kujenga hotel au kituo cha utalii...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom