Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wadau naomba msaada kwa anaejua mwaka huu natarajia kwenda kusoma degree yangu ya pili( masters ) huko china nimeshaanza michakato ya kwenda huko je kwa mwenye ufaham.na china.opportunity gany...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nashukuru wana jf kwa kunielewa maana tayari nimeshafanya biashara na baadhi yenu, kikubwa kilichonifanya nirudi hapa ni kwamba nilikuwa sijaeleza vitu vingine ninavyoweza kufanya, ni kwamba kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa Salaam, Nahitaji kufanya manunuzi kwenye ebay, nimeshindwa kujisajiri kwenye PayPal, ninaomba maelezo kwenye haya yafuatayo: Billing Address - nikiweka address yangu inatoa error...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu mim nipo mwanza town na kama mjuavyo jiji la Mwanza ni kati ya majiji yanayokuwa kwa kasi sana nchini hivyo demand ya ardhi ni kubwa mno hali inayopelekea viwanja kupanda bei kila siku...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kabisa kwamba ni lazima viwanja au nyumba viuzwe hapa nchini Tanzania kwa US$ na siyo Shs? Maeneo ya mbezi beach, masaki na yafananayo. Na je malipo ya pesa ya kigeni yana uhusiano...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi kwa wanaofahamu naomba wanijuze, Ninafikiria kusafiri kwenda uchina kwa lengo la biashara ya nguo. Kabla ya kufanya hivyo ningependa niyajue mambo kadha wa kadha likiwemo hili la...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Ndugu wanajamvi salaam. Ninataka kulaunch product yangu moja ambayo kwa kizungu slogan yake ya campaign ni "double protection against germs" sasa kwa tafsiri ya haraka haraka ni "kinga mara mbili...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mita za Kurasini Oil Jetty "...... Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema), aliliambia Bunge mwishoni mwa wiki kuwa pamoja na TRA kufikia malengo kwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu Wafanye biashara ya nyama " n'gombe , mbuzi" Mie ninabucha iko Kitumbini Dsm bucha hii inafanya kazi tangu 1978 namtafuta mtu wa sokoni anaye uzia nyama kwa wafanye biashara buchani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ipi nzuri kwa biashara?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
This is good news to you all, that now you are safe! Chartered Technology is a company in Tanzania that provides Smart state-of-the-art and innovative range of security technology solutions to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyie wafanyabiashara katika mgomo wa leo napenda kuwataarifu kwamba hamko pamoja, Nikijikita zaidi katika mji wa Kahama Shinyanga ni kweli maduka hapa centre hayajafunguliwa, lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habalini wadau, naomba kujua projector yenye specificstions hizi inauzwa kwa pesa ngapi bongo? Natanguliza shukrani. Brand: K-Mic / Jin Maike Model: KM990 Type: Business Projector home...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
wakuu mwenye uelewa kuhusu biashara hii kwa Mwanza, mchanganuo wake kuhusu faida na hasara zake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wachumi Naomba kujulishwa juu ya fremu za biashara zilizokomaeneo mazuri kwa kiasi au standard kwa lugha nyingine kwa ajili ya kuweka ofisi ya stationary na graphics. Je kwa kodi ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wadau kwa anayejua aina ya maharage ambayo huzaa kwa wingi na yenye bei nzuri sokoni ukivuna anijulishe niweze panda mbegu hiyo mwezi huu mwishoni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wadau. Ninapenda sana hapo baadae nifungue kampuni ya printing itakayotoa huduma zifuatazo: Kuprint banners,calenders,magazines,billboards,tshirts,n.k pamoja na kufanya graphic designing...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari kwa woote wadau wa jf! Naomba kusaidiwa bei ya line za tigo pesa, m-pesa na airtel money kama ukienda kununulia makao makuu yao. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Hello kakaz & Dadaz mko poa? Jamani mi nainshu moja tu, naomba tujuzane ili na mimi nijue, tatizo linalonikabili ni kwamba sijafahamu nini siri ya mafanikio, elimu yangu ni form four,na ni mwaka...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendwa wana JF hivi majuzi kuna watu wamekuwa wakiniuzi hii idea ya TELEX free ambayo imenifanya nijiulize maswali kadhaa ikiwamo je....hii kitu ni ujanja ujanja mwingine wa mjini au.Wataalamu...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Back
Top Bottom