wanandugu pole na majukumu,
kuna mdau mmoja kasomea masuala ya marketing huko india. sasa anakaribia kurudi na atakuwa anaishi Dodoma au Tanga.
anataka kuanzisha biashara ya masuala ya marketing...
Nasema hivi kutokana na uzoefu wangu pia yalinikuta,nashauri ukitaka kuajiri mtu ajiri mtu ambaye si rafiki yako kwenye biashara zako ndio ata kuheshimu na kujali biashara zako,hapo mwanzo mimi...
Nimefungua Agent ya General Insurance, ( BIMA ),Natafuta serious people tufanye kazi pamoja, malipo ni kutokana na kazi yetu, the more we produce the higher the earn income. Please inbox me...
If you think you are beaten, you are,
If you think you dare not, you dont,
If you like to win but you think, you cant,
It is almost certain you wont.
If you think youll lose, youre lost...
WanaJF habari
naomba ushauri wenu kwani nataka kujenga ya kawaida ambayo haitagharimu pesa nyingi kwani
mimi ni mtoto wa mkulima naomba maoni, na vifaa mniandikie hapa namna gani naweza kujenga...
Nataka kufnyabiashara ya ujumbe mfupi w maneno wa huduma kupitia mitandao ya simu!
Tafadhali kama kuna mwanajami forums anyeweza kunisaidia kupata contacts au kampuni inayotoa hizi huduma...
Habar, wadau nipo kwenye semina ya Telexfree, si waelewi elewi, maana nawaona kama DEC.
vip kuna mtu mwenye detailed information.please i need a help kabla ya kujiunga, ahsante
Wadau ambao wanauzoefu wa start up costs za sports bar & pub naomba mnipe uzoefu wenu kwani hii ni ndoto yangu ya siku nyingi...kitu kinachonisumbua ni vitu muhimu vinavyohitajika mpaka biashara...
Jamani nataka kufahamu ni biashara gani inaweza ikawa ni fursa nzuri kuifanya kama una mtaji wa kuanzia sh.1800000 na kuendelea. tafadhali naombeni mawazo.
Hivi ni kwanini kasi ya ongezeko la deni la taifa limeongezeka zaidi ya mara 4 kwa kipindi kisichozidi miaka 10 tu tangu rais kikwete aingie madarakani? Toka trilion 5 mwaka 2006 hadi trilion...
Anatafuta ajira ana leseni ya class e pia ni fundi magari elimu yake darasa la saba yupo tayari kufanya kazi mikoa ya pwani na dar ess salaam namba yake ya sim ni ya tigo 0717383678 kwa sasa...
31 January 2014Last updated at 14:08 ET
Tanzania's 375 MPs already receive a monthly salary of almost $7,000
The revelation that Tanzanian MPs voted themselves a $98,000 (£60,000) package...
Kenyas Thika superhighway leads to more mega-projects The 50 kilometre-long Thika superhighway in Kenya, which was funded by AfDB but constructed by Chinese firms SinoHydro...
Nimejitumia fedha toka nmb kupitia nmb mobile kwenda m-pesa leo siku ya tatu haijafika. Ukiwauliza wanatupiana mpira nmb na m-pesa. Kama sio wizi ni nini?
Heshima wana JF,
Sisi ni vijana ambao tumeamua kujiajiri kuendana na fani zetu, hivyo tumeamua kufungua workshop ambayo itahusika na kazi za,ALUMINIUM AND GLASS,METAL FABRICATION,ELECTRICAL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.