Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wakuu. ukienda uganda kwanza pesa yao ina thamani ndogo kuliko ya Tanzania mfano tsh 1000 = ugsh 1510 change 1.51 na kuna wakati inafika hadi tsh 1000 ~ugsh 1570 . bidhaa kuanzia mafuta ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana JF Ninaombeni kujulishwa au kufahamisha ni nini kinachosababisha shilingi yetu kuendelea kuwa na thamani ndogo ukilinganisha na dola ya kimarekani maana napata shida sana nchi maskini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The Reserve Bank of Zimbabwe (RBZ) has announced the adoption of four more currencies in an attempt to address cash shortages in the economy. The currencies of China, India, Japan and...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Wanawake wenzangu dunia ina mengi jitambue na kujiokoa mapema,jipatie pedi yako ya asili yenye dawa ndani pakiti mbili zinakaa 30,inakuweka mkavu baada ya period,inaondoa fungus,inasaidia wenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mama Ngina, Biwott in Africa billionaires list Mama Ngina Kenyatta at a past function. She is among the three women that made it to the Africa’s billionaire club. FILE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum,tunauza kuku wa kienyeji ambao wamefugwa katika natural environment toka mikoa ya singida,dodoma.Kwa walio dodoma.Tutakuletea mpaka ulipo.Tunapokea order kwa walio Dar.Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani gesi imeshuka bei kuanzia tarehe 27 January kwa mujibu wa kampuni ya Oryx kutokana na bidhaa hiyo kushuka kwenye soko la dunia baada ya bei kutengemaa. Kumbukeni gesi ilipanda ghafla hapa...
3 Reactions
22 Replies
10K Views
Nina hitaji internet ambayo inaweza kuhimili kuendesha mkutano kwa njia ya video (Video conferencing) kwa ajili ya mikutano ya kikazi na watu ambao wapo nje ya nchi. Kwa vile huwa napata shida...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kesho katika kipindi cha Tuongee Asubuhi Star TV pamoja na Wageni wangu nitajadili uhalali wa Serikali kukopa kwenye Benki za Biashara. Hadi sasa kulingana na ukubwa wa deni la Taifa kila...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba msaadawa mchakato wa kununua gari used kwa njia ya mtandao kwa wenye uzoefu
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Bank of Tanzania (BoT) Commercial banks hold 46.3 percent of government domestic debt, which is the largest of all holders, the Bank of Tanzania (BoT) has said in its Monthly Economic Review for...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Dodoma. Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utoh amesema kuwa Serikali ya Tanzania iko hoi kifedha hivyo Bunge na Serikali lazima wajitathmini. Hata hivyo, alisema...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wasalaam Wanajf, Ninatamani nifanye biashara ya burger sasa nimejiuliza maswali yafuatayo: Inabidi uwe na mtaji wa kiasi gani (kwa kuanzia)? Ni vitu gani vinavyohitajika? Risk za biashara hii...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habarini za kutwa wakuu, Kuna jamaa yangu maafisa biashara wamemkuta katika biashara yake akiwa hana leseni ya biashara, walipomuuliza akawajibu kwamba aliuliza kwa watu juu ya taratibu za kupata...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
High profits lure many into quail farming Share Bookmark Print Rating Quail birds at a farm. Most poultry farmers are now replacing...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Salama wana JF. Ninategemea kuingia katika biashara ya kuleta mashudu ya pamba ( cotton cake) toka kanda ya ziwa, kwa wale wanaotengeneza vyakula vya mifugo. Ilikujua ni kiasi gani niwe naleta...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
High profits lure many into quail farming Share Bookmark Print Rating Quail birds at a farm. Most poultry farmers are now replacing...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wapendwa nahitaji mawazo yenu ya busara tafadhari, je mil. 3 ukiipata leo unaweza unaweza kuifanyia nini??
0 Reactions
10 Replies
3K Views
fungua hii link fuata maelekezo 2CashSite.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wadau wote wa jamii forum napenda kufahamu jinsi ya kuagiza gari uingereza kupitia mtandao uitwao Autotrader,napenda kujua taratibu zikoje kuagiza gari huko na njia salama ya kutuma pesa,kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom