samahani wakuu!!nimetokea kuipenda hii gari na hesabu zilinipiga kikumbo tangu siku nyingi nashinda kukokotoa na kikokotozi cha TRA naona chenga tuu
MAZDA Atenza sport wagon
Manufacture year...
Nataka kusajili Ltd private company na BRELA.
Naomba ufafanuzi.
1. Kwa sasa nataka kufanya biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali kwa serikalini na watu binafsi na hapo siku zijazo import...
DAR ES SALAAM, African Barrick Gold (ABG) suffered a loss of $110 million (about Tsh179 billion) last year.
This is despite creating 65,000 jobs in Tanzania with an investment of over $2...
Great thinkers, ni wapi naweza nikapata mashamba sehemu nzuri karibu na barabara au isiwe mbali sana na barabara bagamoyo ? Viwanja pia itakuwa vizuri.. Na gharama zake zina range kuanzia gani ...
Ndugu zangu kabla sijaingia kwenye ugonjwa wa moyo naomba ushauri kuhusu dhamira yangu ya kununua agari aina ya Toyota Hilux Double Cabin. Naomba kushauriwa kuhusu aina ya gari na bei yake. Pia...
Biashara ya kufuga kuku imekua ndoto yangu ya mda mrefu. Katika kuitimiza ndoto hii niliamua kuanza kufuga kuku wa mayai yaani layers. nilianza kwa kujenga banda zuri la kisasa. Nilianza na...
Mimi ni mteja wenu toka mwaka 2011, ofisi yangu inategemea internet yenu. Tokea mwanzoni mwa mwaka huu 2013 uanze internet yeni imekuwa siyo reliable, kuna kipindi nakosa internet siku nzima au...
KAMPUNI ya Mantra Tanzania inayosimamia mradi wa uchimbaji urani eneo la mto Mkuju wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma, imesisitiza kushirikiana na jamii inayozunguka eneo la mradi kwa
kusaidia...
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali haina mpango na kamwe haiwezi kuzuia kampuni ya kitanzania au Mtanzania kushiriki utafiti na uchimbaji mafuta na gesi ingawa ni gharama. Pia Rais
Kikwete...
Habari zenu wakuu mlio Jf.
Naomba msaada kujua:
1. Aina za sabuni zilizopo sokoni za (Miche, Maji na Dawa)
2. Sabuni yenye majina makubwa
3. Sabuni zilizo na kiwango cha Tbs na Bar code
4. Uwezo...
Ba ndugu zanu......
ninavifaa vya car wash full set... nahitaji mahali pa kufungua ili nianze kazi..
dedicated palce ni
victoria, masaki, oysterbay, mwenge sinza, morocco na maeneo ya karibu na...
Habari Zenu Wakuu,
Ningependa kupata msaada wa kujua kama hapa nchini Tanzania kuna hizi organizations ambazo nchi za wenzetu wanaita "Think Tanks"
Nchi za wenzetu hizi "Thinks Tanks" zimekua...
Wadau natafuta mtu anikoposhe kiboko water tank 10000 Lts nifanye biashara ya kuuza maji maana huku kwetu inalipa. Nitamlipa ndani ya miezi 10. Kama upo tayari tuwasiliane. 0718412041
wakuu nisaidien sehemu zifuatazo, garama ya madumu y kupulizia shingapi? mazur ni aina gan na kutoka wapi? soko lake likovip? dawa gan ni nzur? madumu yanauzwa wapi?kwa bei gan? na wanapulizia kwa...
Si mara zote, ila mara nyingi unakuta mtu anayefundisha na kuhamasisha wenzien wasitegemee ajira bali wawe wajasiriamali unakuta yeye hana hata genge la nyanya, hivi ni kwanini wadau? au ndio fata...
Habari zenu wadau, Naomba anayefahamu gharama za kulipia ushuru wa perfume bandarini Coz nataka kufanya biashara ya kuingiza perfume kutoka nje na kuuza nchini.Kama unafahamu please ni PM au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.