Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naanz kwa kuwasalimu. Mimi nimepa wazo la kufungua biashara ya kuuza chips, je biashara hii inaendaj na mtaji wake ni shilling ngapi kwa kuanzia. Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Jamani kiukweli kuwekeza kwenye gesi sio lelemama, inahitajika fedha ya kutosha, ni ghali mno. Sielewi mifuko ya watanzania iko vipi lakini mimi nahisi gharama yake ni kubwa sana ni vyema serikali...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Wakuu salama ? nimekuwa nikijiuliza zile mbinu za kutathimini miradi au biashara kama inalipa au la kama ville NPV, IRR, MIRR, PI, n.k wabongo mitaani zinatumika ? maana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Your Manners Are Showing! Business etiquette is just as important today as it was for previous generations. However, with global communication being such a significant part of our everyday lives...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Wana jf. Hususan forum ya biashara na uchumi. Naomba kuuliza uzuri na ubaya wa biashara ya fast food. Yaan nataka niuze samaki wabichi pamoja na nyama ya ng'ombe on the same shop. Naomba...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Wanajamvini habari za leo? Kuna Swali ambalo nahitaji tulijadili hapa kwa pamoja,ni jinsi gani wafanyabiashara wakubwa wanaweza kuwainua wafanyabiashara wadogo? Ni chaini kama hiyo ya kiuchumi...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Ba ndugu....Mimi nafanya Kazi ya kutoa mizigo bandalini natafutafuta mnisaidie..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari zenu Leo nimeona niongelee suala linalowagusa vijana wengi wanaoanza maisha na kujipanga ili waweze kuwa na makazi yao binafsi ya kwanza. Vijana wengi wamekuwa wakitapeliwa hasa Dar...
3 Reactions
27 Replies
10K Views
Jamani mitandao yetu ya simu imebadili gharama zao kimya kimya. Mimi natumia airtel, wamebadili vifurushi vyao kwa kupunguza dakika walizokuwa wakitoa. Kwa maneno mengine wameongeza gharama...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Wadau naomba kupata experience ya fursa ambazo zipi huko china. Naona na ninasikia watu wengi wakienda china wakifunga mizigi na kuja nayo tz. Tupeane ujuzi mtaji wa kwenda huko ni bei gani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ba ndugu zangu...... ninavifaa vya car wash full set... nahitaji mahali pa kufungua ili nianze kazi.. dedicated palce ni victoria, masaki, oysterbay, mwenge sinza, morocco na maeneo ya karibu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusiana na SACCOSS
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau habari za jioni, Kwa mdau yeyote anayeweza kuwa na soft copy ya katiba ya kikundi au saccoss anisaidie tafadhali. Mimi na vijana wenzangu tumeanzisha kikundi cha watu kumi for Saving...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mabag ya laptop picha nimeatach,for more call me 0767319121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nini kinahitajika,na mtaji ni shilingi ngapi?:A S tongue:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukubwa..... Mashariki mita 60, magharibi mita 40. Kaskazini mita 40. Kina umbo la mstatili. Hakina Hati.... Mahali... KIGAMBONI MIKWAMBE Bei ..... Milioni 5.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani wadau naomba mwenye uzoefu na biashara ya mazao kwa morogoro anijuze ni mazao gani yanalipa kwa morogoro
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habarini, Oven kubwa inahitajika kwa ajili ya bakery iwe used au mpya, Inayotumia gas ndio kipaumbele.bei tutaelewana kutokana na ubora wake na idadi ya plates (1 ...).
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Wapendwa, Nimepata taarifa toka kwa mdogo wangu aliyepo sasatel kuwa hadi leo hii hawajalipwa mshahara wa mwezi wa saba na ule wa mwezi wa sita walipewa nusu tu.inasemekana kampuni imeuzwa kwa...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Kampuni ya mawasiliano ya Sasatel iko katika hati hati ya kufungwa baada ya kushindwa kufanya vizuri katika soko la mawasiliano hapa Tanzania ikiwemo kushindwa kujitanua kwenda mikoa mingine huu...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom