Mfanya biashara maarufu Mustafa Sabodo, amekua mwekezaji wa kwanza mzalendo aliyeamua kuwekeza jengo kubwa (parking)kuliko yote jijini Dar kwanza ajili ya parking pekee.
Jengo hilo lipo katika...
wakuu naomben mnisadie kuhusu haya maswal juu ya hiz redio za ulaya, lengo lao nin? wanapataje faida? kwa nin zipo nying afrika mashariki? nan yupo nyuma wa hizi taasis? je habar wanazotoa ni...
SAMSUNG GALAXY PRO DOUS YOUNG(GT 5512)
Bei ; 120,000
Ipo kwenye hali nzuri haina mkwaluzo..!!
Kama utakuwa tayari ni PM tufanye biashara..
Text me and whatsapp.. 0785673240
P & D Twins Distributors is a company established in 2012 deals with;
Designing
Printing
Distribution
The company mission is to make your business known to...
Nauza mashine za stationery photocopy machine canon IR 1600,printer 2 moja canon nyingine ni HP.na Lamination machine.
Kwa mawasiliano poga namba hii 0754258340
Nipo arusha natafta galaxy s3 ya kununua kwa m2 bei maelewano mradi 2 iwe kwen hali nzur km wew unauza au unaeza nielekeza pakuipata ncheki kuptia no.0752177217
Wadau Heshima kwenu
Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea jukwaa
Kwa kuwa hapa ni JF basi tuko huru kuongea ukweli bila kumuonea mtu haya kwa lengo la kujenga ili Tanzania yetu isonge mbele...
Ninajitokeza kwenu wadau kutafuta mtaji wa biashara, sijaanza biashara ila ninao uzoefu wa kusimamia biashara ambapo najiamini iwapo nitapata mtaji. Nimebahatika kuwa na nyumba ya uwani jijini Dar...
Natafuta mtaji wa biashara ili nijiajiri.mi ni msichana kwa sasa nafanya kazi ya kuuza duka,natoa huduma ya mpesa,tpesa ,vocha za jumla na pia napiga passport size.kinachonikatisha tamaa hela...
ndugu wadau,naomba ushauri wenu
mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu nimejibana pesa ya mkopo na kufanikiwa kupata kiasi cha Tsh 500,000
lengo kubwa katika maisha yangu ni kujiajiri,,sitaki baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.