Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau katika kupambana na maisha ili kupunguza msongo wa mawazo wa kutegemea mshahara mwisho wa mwezi, nilianza ufugaji wa mbuzi na sasa nina zaidi ya mbuzi 900 katika mabanda yangu hapa dar es...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
gharama za kupanga chumba cha biashara ziko juu sana na zinachangi kuuwa biashara za wajasiriamali. wenye vyumba hivo wanatake advantage ya upungufu wa vyumba kuweka kodi kubwa. vyumba vingi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wote? Nauza nyumba yangu ambayo ipo magomeni mikumi. Nyumba ina vyumba kumi vya kulala, na sehemu kubwa ya kupumzikia, mie niliitumia kwaajili ya kupangisha watu. Bei ni shillingi mil...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Do you happen to shop anywhere where you got quality product/service? Recommend that business to a global member driven Business Directory and you will get valuable Deal Points that will enable...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Habari wadau mlio jukwaani!! Naombeni msaada wenu kujua: 1. Aina ya sabuni zilizopo sokoni(miche,maji na dawa) 2. Sabuni zenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE?
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Wadau nauza laptop mini ya samsung ni mpya, sh 450,000 nipo mwanza,
0 Reactions
0 Replies
935 Views
wandugu naomba kuuliza bei ya mabati ya kawaida na yale magumu ya south na gharama ya kuezeka nyumba ya square meter 100 inaweza tumia mabati kiasi gani nawasilisha
0 Reactions
25 Replies
20K Views
Wakuu habari za leo? Naomba kujuzwa taratibu za kufungua akaunti ya dola na kama kuna charges zozote nitakua ninakatwa. Nimejaribu kutembelea website za bank lakini sipati taarifa ninayotafuta.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza Samsung tablet 10.1. Inafanya kazi vizuri sana. ILA ina skrach kidogo katika kioo chake cha nje. Tsh 600,000/= 0759777493
0 Reactions
0 Replies
1K Views
samsung tv led UA46C8000XR :Only one stock is available.mill2.5 Cont: 0718268969 SOLD. Series Series 8 Display Ultra Clear Panel Yes Video Screen Size 46" (116cm) Resolution 1920 x 1080...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Habari wanajamvi, nauza simu aina ya yxtel g928 ina os ya android 4.1.1 Kama upo tayari piga +255 783 068 584
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KWA WALE WATAALAM WA CLEARING AND FORWAD NAOMBA MNIAMBIE BEI YA USHURU NINAYOTAKIWA KULIPA KWA GARI YANGU HII INAWASILI WK IJAYO PLZ NAOMBA MAJIBU YA UHAKIKA MAAN NMETOKA KWA AGENT AMENIPANIKISHA...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Bei ya gesi imepandishwa sana kiasi kwamba kwa mtumiaji inkua ngumu kununua. Maana ya kutumia gesi ni kuokoa nchi yetu Tanzania kwa kukata miti ovyo. Ili watu waweze kununua gesi badala ya mkaa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam zenu wakuu. Naitaji kupata usafiri kwa bajeti yangu ni 8m maximum.. nimepitia tradecarview nimeona Toyota paso $950,60000km 1200cc ya 2004, na Toyota IST $ 1350, 65000km. 1500cc ya 2003...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii tabia ya Tanesco kukata umeme na kurudisha watakavyo wao kama kwamba wanatugawia bure ni dharau sana na pia sio msingi wa kibiashara. Hivi hii tume ya ushindani na haki za mlaji haina mamlaka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu mimi ni wakala wa azam tv, kwa atakaehitaji king'amuzi unaweza kunicontact kutumia namba 0713086602. King'amuzi kinauzwa 147500 hapo ni dish, decoder pamoja na ufundi na malipo ya mwezi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Buy a samsung led 32 get a Dvd player @ 785,000. fridge two doors get a microwave @ 995,000. cont: 0718268969
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Is Amsterdams culture of tolerance being taken to far? First the Red light districts, next came cannabis dens and now alcoholics are being paid in beer for picking litter. News Headlines
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Hi..wakubwa nauza simu ya samsung galaxy pocket bado mpya 1GB ram and internal 4GB.bei. Ni maelewano.. Kwa mawasiliano zaid 0752628466,facebook.com/youngclever,and email ni younggenius3@gmail.com...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
xtreem fuel treatment ni bidhaa itengenezwayo na kampuni ya wa marekani iitwayo SYNTEK GLOBAL Na bidhaa hii hutumika kusafisha mafuta kwenye vyombo vyote vitumiavyo petrol au diesel kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom