Habari watu wa Dar.
Kuna mgeni wangu anakuja kutokea Europe na alitaka kununa Malaria Pills zinazoitwa MALARONE.
je Bei ya dawa hizi kwa Pharmacy za Dar city Center ni kiasi Gani?
Mbarikiwe
wadau nataka kwenda kukopa kwa hawa jamaa naomba anaowajua anijuze kuhusu riba zao, wanatoa maximum kiasi gani. pia kama wanakopesha mtu anaetaka kulima, nina kiwanja chenye hati na kipato cha...
Happy Holidays Wakuu,
Samsung Galaxy S3 is on sale, rangi yake ni nyeupe na ipo kwenye hali nzuri sana.
The Price is 450,000 and it's not negotiable. If you want to talk business u can pm me...
Mimi niko Njombe kata ya Ramadhani.Naomba kujua gharama zote ninataka kuingiza umeme kwaenye nyumba ambapo nimeshafanya wiring na ipo umbali wa chini ya mita 30 toka ilipo nguzo
Natafuta fremu maeneo ya Tabata, isiwe mbali na Tabata Relini au Tabata Mwanachi. Nina maana isiwe mbali na Barabara kuu ya Mandela.
- Fremu iwe Kubwa kama zile zinazoitwa 2 in 1 - (Futi 20 kwa...
Zinapakana na Kaole Secondary na zipo mita 200 toka baharini; zina ukubwa wa sqm. 825 na bei ni Tshs 6.5 milion kila moja (unsurveyed). Pia lipo shamba Kiwangwa linafaa kwa kilimo cha nanasi bei...
habari zenu wana JF, naamini mko vizuri na mnachakalika kikamilifu kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kuhifadhi cha baadae.
naomba kusaidiwa na wenye uzoefu/uelewa wa biashara za vitalu vya...
Natafuta mtaji wa biashara ili niweze kujiajiri.nafanya kazi ya kuuza duka na vocha za jumla pia natoa huduma za mpesa na tpesa.nimefanya kazi muda mrefu lkn sina cha maana nilichofanya kutokana...
CashFly is a unique URL shortening service that allows users to get paid whenever they share links and someone clicks. Think of it as a way to make money for doing what you normally do (sharing...
tv toleo jipya mwaka huu inauzwa kwa Tsh.650,000/= tu. ina kingamuzi ndani yake ya kushika channel zaidi ya 100 including local channels za hapa.
0718268969
Habari za asubuhi.nataka nijue kitu gani kitafanyika kwenye kijiji cha 21 tanga? Je ni nyumba zinataka kujengwa?na kama ni hivyo zitakuwa zinauzwaje.naomba nielimishwe.Asante.
Dear members/interprenuers,
I badly need a Fan control for IST, i tried to check arround in our local markets, but unfortunatelly there was no where to be found.
those who have an ideal where i...
Ndugu zangu nipo wilaya ya Mbeya vijijini,nimefungua duka dogo miezi miwili ilopita.Sasa wiki hii wamekuja watu wa Halimashauri wanakusanya pesa ya "taka ngumu" elfu ishirini,kwa kweli imeniumiza...
HABARI ZA MAJUKUMU WANAJF!
Naomba kupatiwa mkopo wa kiasi tajwa hapo juu kwa ajili ya kuendeleza mradi wangu. Ningependa kuurejesha katika kila mwisho wa mwezi kwa muda wa mwaka mmoja.
Tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.