Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu Mimi ni mgeni hapa katika jukwaa lakini nimekuwa nikipita humu kwa muda mrefu bila kujiunga. Kutokana na kuona michango ya wanajamii mlio wengi, nimegundua humu kuna watu wengi wanaoweza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa marekebisho ya kodi mpya yataanza lini kutumika? Nani ana jedwali la namna ya kukokotoa hesabu za mishahara kwa kodi mpya? tafadhari naomba msaada wenu
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau tufanya kazi ya kutengeneza Database system kwa ajili ya Biashara mbali mbali mbali kwa anaehitaji huduma zetu awasiliane nasi kupitia 0718164448
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nitajie kero ambazo zinaweza kugeuka kuwa fursa ya biashara Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Financial backup: Know how to: Earn extra income Own your business Be your own boss Have a great health Live legacy Travel the world Grow your mind Freedom of time Own your own life style Do...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Habari ya kazi. Mimi ni graduate ila home kuna gari aina ya pick up, sasa shida yangu ni weke wapi kwenye vijiwe vizuri ili iweze kuwa ya kukodishwa, maana niliwauliza watu wa vijiweni wakaniambia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba ushauri kwa waliowahi kutumia aina hii ya Mazda, Ni Mazda Saloon Model 1990 Imeingia Nchini mwaka Jana mwishoni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampuni nyingi za simu na za madini nchini zinadaiwa kuwanyonya wafanyakazi wao na kusababisha serikali kuamua kuingilia kati kwa kusimamia moja kwa moja usajili mpya wa mawakala wa ajira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu polen na kazi,naulizia b'ness ya Oryx gas inakwendaje?kama kuna mwana Jf anayeifanya anipe maujanja!hivi ukinunua kule depot wanakuletea hadi hapo unapofanyia b'ness au unabeba mwenyewe?na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau habari zenu.? Baada ya utafiti wa kwenda sehemu nyingi za starehe na burudani,nikaja kugundua kuna umuhimu wa sehemu hizo kuwa na WIRELESS INTERNET CONNECTION,hivyo basi nachukua nafasi hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ZNZ Kuipiku Dubai?Soma Utoe Maoni Yako Kweli Zanzibar kuipiku Dubai *Kuiacha kwa mbali ‘Dar’. Ila iende kivyake *Lakini matusi haya ya nini. Akina Samia Suluhu, Fatma Abdulhabib Fereji, Amina...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa Milion 2 na maelewano yapo, inahitajika hyo bajaji aina ya TVS
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama unahitaji ushauri,matibabu,chanjo,kuhasi mbwa,ngo'mbe,mbuzi,nguruwe na kondoo,kutoa kizazi kwa mbwa na paka yaani kwa ujumla mambo yote yanayohusu mifugo kwa wale wa DSM tuwasiliane kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama una kampuni ya tours ambayo ni serious na ina magari na unahitaji watalii naomba unitafute (pm please)
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wenye uzoefu na mambo ya mikopo kwenye mabenki yetu yanayofanya kazi zake hapa Tanzania naombeni mnijuze uzoefu wenu. Ni benki gani zinatoa mikopo based on LPO. (NOTE: collateral ipo ila...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni kuku wa kienyeji.wenye umri wa miezi minne..nawafuga kiasili kabisa(organically)tunawalisha chakula tulichotengeneza wenyewe..tunawapa majani kila siku..majani tunayowapa ni majani ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nataka kuanza kufuga kuku soon. Nina plan kuanza na kuku wa nyama coz mtaji nilionao sio mkubwa sana. Naomba kujulishwa nikiwa kama na mil 2 hivi inatosha kwa miezi yote 6? Hiyo mil 2 ni pamoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf…napenda kuwakaribisha katika mkutano wa kibiashara utakaofanywa na kampuni la forever living. Nyote mnakaribishwa
1 Reactions
2 Replies
969 Views
Nahitaji kuandika business plan (itakayoweza kutumika kuombea mkopo benki) ya kufungua kampuni ya Video Production/Graphic Design. Naomba mtaalamu wa kuandaa business plan anisaidie.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Helo wana jf. nauza mbegu za miti ya miashoki kwa chupa ya 1L=10,000 kwa wale msioifahamu ni ile mit mirefu kabisa ambyo unaweza kupanda hata karbu na nyumba na kutoa kivuli kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Back
Top Bottom