Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hawa ndio madereva pikipiki/Toyo wazuri kwa uendeshaji tena waaminifu. Wanapatikana katika wilaya ya Bunda mkoani Mara. Vijana hawa wanapaki mtaa wa baisikeli nyuma ya soko kuu karibu na duka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam Wapendwa wangu,,....!! Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!! Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!! Kwa kiufupi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu! Naomba kujuzwa bei ya kilo ya korosho kavu mikoa ya pwani/ maeneo yanayolimwa ni bei gani kwa jumla. Wasaalam, Ntu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu, naombeni mwenye soft copy ya katiba ya saccos au vikoba yoyote hapa bongo, kwani nataka tuanzishe vikoba au sacoss. kama mtu anayo naomba anitaarifu hapa janvini, ili mimi ni PM kwake ili...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Tanzania's development blueprint has found a renewed strength as Lake Cement Ltd. is set to commission Tanzania's first fully-integrated greenfield cement plant with an initial capacity of 500,000...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Nina pesa ya Korea kusini nataka niibadili katika shilingi,duka gani hapa dar naweza kupata chenji,maana nimejaribu airport nimekosa.
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Utapeli kwa njia ya mtandao umekuwa ukiongezeka kila kukicha kutokana na ukuaji wa tekinolojia ya utumaji na upokeaji pesa kwa njia ya mtandao, hususani simu. Tanzania ni mojawapo kati ya nchi za...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Hivi hawa TCRA hawana kanuni za kuwadhibiti hawa jamaa wenye kurusha matangazo ya TV, wanatukera saaaaana na kelele kubwa za matangazo yao ya biashara. Nakumbuka nyuma kidogo ama ni Marekani au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunauza viwanja vilivyopimwa maeneo ya Mvuti - kupita Chanika,kwenye barabara ya kuelekea uwanja wa Chamazi mpaka Mbagala. Viko Mita 60 toka kwenye lami,viko kwenye mtaa na maeneo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pikikpiki aina ya honda 110 inauzwa bei ni maelewano tu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gari ipo Dar ..Inauzwa Mil 8 .....
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari wapendwa, mimi ni muajiriwa hapa dodoma, lakini kama mnavyojua mshahara siku zote huwa hautoshi, sass wapendwa naomben mawazo yenu je kwa mtaji huo naweza fanya biashara gani, nimejaribu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza toyota Rav 4 ni milango mitano iko katika ali nzuri bei ni Tshs 8.5m ni Automatic engine aina ya 3s cc1998 ya mwaka 2000 kwa mawasiliano zaidi piga simu number 0753800808 au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Miguu 28 kwa 24 Umeme upo na maji,kimezungukwa na fensi za waliojenga tayari. HAKUNA DALALI 33MILIONI NUNUA UBARIZI HEWA YA MLIMA SUYE TUWASILIANE O764291222.
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Wadu kwema? Naomba muongozo wenu, je ni business gani ya kwenye ICT inalipa sana kwa sasa bongo ambazo unaweza kupata tenda au kazi kwenye makampuni makubwa au hata serikalini? Nilisomea mambo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau salam zangu za dhati kwenu, Nataka kufanya biashara ya mbao za miti kwa hapa Dar es salaam, lakini sina taarifa za kutosha kuhusu soko lake na bei zake kiujumla, ntafurahi kupata taarifa...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Habari Wanajamvi. Naomba kujuzwa juu ya gharama za solar power(Full Gadgets i.e Charger Controller,Panel,Battery & Inverter ) ambayo nitaweza kuwasha Tv,King'amuzi pamoja na Taa Sita.Mwenye...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
habari wana jf kama title inavyo sema naomba kujua mahali ambapo nitapata elimu ya ufugaji wa kuku iwe wa kienyeji wa kisasa. mn nakaa dar es salaam tumefunga chuo ss mpaka mwezi wa nane sina kazi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za leo, Kama kichwa cha habari kinavyosema .Mimi natafuta wakala ambaye anahusika na uwakala wa kutuma magari Japani kuyaleta hapa nchini.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau, hasa vijana wenzangu, Ushauri kwa vijana wenzangu. Ukiona wewe kwanza ndiyo umepata kazi, ukaanza kwa kununua gari la kutembelea, baada ya hapo ukanunua kiwanja na ukaanza kujenga ujue...
35 Reactions
234 Replies
47K Views
Back
Top Bottom