Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu kwa ujumla, natumai mu wazima wa afya na kwalio na matatizo ya kiafya poleni ila Mungu muweza yote natumai atawaponya ili tujumuike wote katka ujenzi wa taifa kwa ujumla...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa napitia document za tenda zilizo tangazwa na GPsa kwa mwaka ujao wa fedha 2014-2017. Kipengele cha kwenye gharama ambazo supplier inabidi ajaze anapoomba tenda hiyo ndiyo pamenipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni nzuri inafaa kwa ku install Windows au External. imetolewa katika machine ambayo imevunjika Screen.kwahiyo ipo vizuri.bei haipungui.kama upo Dsm nichek nikuletee ulipo. 0716-844978
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Unahisi ni biashara gani ya mtaji wa Tshs Millioni 1 kijana anaweza kuifanya na ikamuingizia kipato kizuri kwa muda mfupi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada nataka kufungua company ya clearing and forwarding, kwa mwenye uzoefu naomba, whole process plse na pia naomba kujua vizingiti ambavyo vitafanya nisiweze kufanikiwa au...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Tunahitaji malori(tiper) kwajili yakubebea clinker material yakujengea cement toka bandarin hd kisarawe km34.tan1 95000.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau mimi kwa majina ni Matendo Andrew ni Gospel singer, lakini hapa nimekuja kama Manager wa Matendo Andrew. Nahitaji mtu au kampuni nifanye nayo kazi, kazi ni hii hapa. Nimesha record album...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Germans Plan U.S. $1 Billion Fertilizer Plant in Dar BY DEOGRATIAS MUSHI, 22 FEBRUARY 2014 NATURAL gas in Tanzania has attracted a company from Germany which intends to invest over one billion...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
tunahitaji magari ya kubeba kokoto kutoka Lugoba-Dar ubungo terminal, tunalipa kwa tani 19,500, kampuni....JV LOGISTICS COMPANY, Mawasiliano 0715643896, 0783 643896
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tunahitaji magari ya kubeba kokoto kutoka Lugoba-Dar ubungo terminal, tunalipa kwa tani 19,500, kampuni....JV LOGISTICS COMPANY, Mawasiliano 0715643896, 0783 643896
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tunahitaji magari kwa ajili ya kokoto kutoka Lugoba-Dar Ubungo Terminal, tunahitaji semi-trelar,tunalipa tani moja 19,500 na ushuru tunalipa sisi JV LOGISTIC COMPANY....Wasiliana kwa namba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nina shida kuhusu hii AIRMAIL, Nimetumiwa package kutoka china kwa njia ya AIRMAIL lakini sijui hiyo package ntaipaje itakapofika na sijui itafikia ofisi ya carrier gani. Tafadhali naomba...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Wakuu nataka kununua ream kwa ajili ya stationery yangu je ni ream ipi nzuri yenye quality na haikwami kwenye mashine Kati ya hizi double A au mondi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu najua ndani humu kuna wauzaji au watumiaji wa mashine hizi hivyo wapi naweza kupata kwa hapa daresalamu lengo nikafunge kijijini kwetu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wafanyabiashara wa Nyaya Kama wewe ni mfanya biashaya wa nyaya, hasa za simu, kompyuta na vifaa vya mziki.Traders Easy Way tuna collection ya nyaya mbalimbali zenye ubora mzuri.Ili kujua...
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Habari wadau, Tunahitaji sehem tunayoweza kukodisha mashine ya kuchimba barabara eneo lenye mlima na mawe/mwamba, nafikiri zinaitwa Scarveter (sina uhakika na jina na spelling). Kampuni iwe ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ninayo haja ya kununua mashine ya photocopy pamoja na ya kusafisha passprt size, kwa uzoefu wenu, nishauri aina na bei ya brand huzika. WASALAAM!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani bado nahitaji pango au apartment ya kupangisha kwa ajili ya madarasa ,nina mpango wa kufungua education centre.Kama ntapata ya madarasa mawili au matatu siyo mbaya,au hata kama ni...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Habari wana jamvi. Natafuta mkono waVacuum cleaner wakwangu umekufa mwenye nao au taarifa unapatikana wapi? Mkono peke yake mashine bado nzima Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom