Habari wadau
Nina stationery maeneo ya Mbezi beach ina deal na shuguli zote za secretary pamoja na general supply,kama yupo mwenye kuhitaji huduma yetu tafadhali awasiliane na mimi hapa hapa or...
Wakuu Nina mpango wa kuanza hii biashara ya kuuza t shirt zenye logo kwa wenye uzoefu naomba changamoto za hii biashara na vitu vingine vinavyohusu hii biashara
Ipi njia bora na inaokoa gharama kuweka mkandarasi au kuwatumia mafundi wa kawaida ktk ujenz wa nyumba?? Kwasababu ktk mafundi wa kawaida suala la usimamiz linanipa shida kwakuwa mm mwenyew sio...
By Obed Natugumya- Basobokwe
TelexFREE is an online money making business and many Ugandans have been recruited through social media invites. To gain membership, one has to contribute close to...
Sijui kama hii kitu imewahi kuletwa hapa lakini kwangu ni kitu kigeni.Inakuwaje mambo ya dini yahusishwe moja kwa moja na biashara tena ambazo sio taasisi za kidini?Kwa anaejua vizuri haya mambo...
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya fresh foods (samaki wabichi kama sato, sangara, migebuka na sea foods, kuku, nyama ya ng'ombe na mbuzi) Morogoro. Nataka iwe modern. Naomba wazoefu wa biashara...
Wana jamvi kama ilivyo ada hapa JF ni kisima cha fikra. Naomba kujuzwa kuhusu hii biashara kuwa Insurance Agent, wenye udhoefu naomba Experience zao kwenye hii biashara wadau.
Mimi sio mwanauchumi wala mtaalamu wa mambo ya biashara. Naongea kama layman mmoja. Kwa muda mrefu nimekuwa nikipata taarifa zisizo rasmi kwamba wilaya mbili zinazoongoza kwa kuchangia mapato ya...
Nina mtaji wa pesa kiasi kadhaa na niko huku mkoani Kagera, Natafuta mtu anayeweza kupata kwa urahisi vifaa vya electronics used au mpya km vile simu,Laptops,Lcds nk nahitaji mtu huyo tuweze...
Wakuu baada ya kuzidi kusumbuliwa na ndugu zetu kujiunga kwenye hii kitu na watu kukataa kabisa kwamba hii sio Ponzi Scheme naomba hao watu watueleze hizo pesa zinatoka wapi...
Products
Kwakweli...
Wakuu kitu kizuri ule na wenzako! Tuna Kampuni ya masuala ya "Technologies & General Supply", ni Limited Company by shares. Hadi sasa ina Wakurugenzi wawili tu!
Imesajiliwa kwa taratibu zote za...
I am a tourism guru, broadly experienced and deeply educated locally and internationally. I have been in the tourism game for the past 15 years and currently running my own consultancy firm.
I...
SMS Marketing Benefits to Enjoy at GSMSGSMSThe most afordable leading Mobile Marketing company in Tanzania. Our cutting-edge mobile communication platform helps individuals, businesses...
Wakubwa, naomba msaada wenu wa mawazo. Mimi ni mwajiriwa lakini ktk kipato change kila mwezi naweza kubakiwa na laki mbili, je kwa amount hiyo naweza kuifanyia nini in terms of investing it...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.