Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

NEWS Dar fights to save its embassy in Nairobi SHARE BOOKMARK PRINT RATING anzania's High Commissioner to Kenya, Dr Batilda Burian, at a past function in Nairobi. Dar is embroiled in a case in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimekuwa nasikia neno HISA mara wengine wanasema nimenunua HISA au wakishauri kanunue HISA ningependa mnitoe tongotongo neno HISA lina maanisha nini na umuhimu wake kwa mtu au biashara...je mtu wa...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Wanajamvi Kuna blog nimeitembelea nimeona inaandika masuala ya gemstones,kwa wale wafanyabiashara ya gems hebu nenda NORTHMARA BLOG - Jamii Kwanza
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wachumi Ebu nisaidieni hapa : Hivi nini ufanyika pale ambapo Taifa fulani baada kuona ela yake imeshuka thamani uiinua na kua yenye thamani, nikichukulia mfano jirani zetu Zambia ela yao ilikua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi hoja yangu inafanana na Pearl lakini tofauti yangu ni kuwa mm nimepata mkopo wa 7m with interest ya 18 % kwa miezi 12 na natikiwa kuwa nimerudisha hicho kiasi plus interest. @Babalao...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Kuna jambo halijakaa vizuri, uwa naona umu watu wakiuliza maswali mbalimbali ili waanze biashara. Na uwa ushauri unatolewa kwa watu wanaouliza lakini sijaona watu wakirudi na matokeo kama kweli...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
wanajamvi nina bodaboda 5, ila nataka kukopa pesa bank au taasisi ya fedha yoyote dhamana izo boda, wapi na inawezekana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari ndugu zangu. Mimi ninamiliki nyumba mbili mabibo dar. Eneo ni zuri na barabarani kabisa, nahitaji kubomoa hizi ili nijenge ghorofa Moja floor tatu kwaajili ya apartments. kwakua eneo ni...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimeshindwa kuhudhuria SEMINA hii kutokana na mambo yalyo nje ya uwezo wng so aliyehudhuria naomba anijuze yaliyojir pls
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wana JF Mimi nimeajariwa kwenye Kampuni fulani hapa Dar ratiba zangu za kazi no holiday or weekend i mean everday nipo kwa job from sa7asubh to saa1 jioni. Namshukuru Mungu mpaka sasa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Juzi wakati napita kwenye mataa ya morocco nikitokea mwenge-kariakoo niliona bango linaloashiria uwepo wa maonesho ya kilimo ambayo nimeona neno machinery kama uwepo wa vifaa vya kilimo...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Habari zenu wanajamii ; Naomba kwa mtu anayejua hatua za kufungua kampuni itakayobase kwenye maswala ya ICT hatua zake zipo zipi ? Asante.
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Ndugu wadau, sasa mnaweza kujipatia viazi vilivyolimwa katika hali ya asili bila ya matumizi ya mbolea zenye kemikali. Sehemu bidhaa ilipo Mbeya-Kawetere Bei shilingi 50,000 kwa gunia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nina machine zote X ray,ultra sound,microscope,za kupima kansa,kupima moyo,vitanda vya surgery,kupima ubongo,kuzalisha,hospita uniform vyote ni from uk etc natafuta mteja +255652715232.
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Wana jamii na wakulima kwa ujumla karibu sea cliff parking lot jumamosi hii unadilishane mawazo na wakulima wenzako.Nitakuwepo kuongea ha organic products kutoka milima ya ULUGURU...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu mim ni mwajiriwa wa serkali ambaye nina mwaka mmoja kazini, baada ya kutafakari kwa muda mrefu nimeamua kuchukua mkopo ili niwekeze. Nilokuwa nataka kujua benki nzuri ya kuchukua mkopo kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
HALOO jumamos(12/04/2014) hii kuna semina kali sana,itakayofanyikia ubungo plaza(blue pearl) saa saba na nusu mchana.inahusu uwekezaji TANZANIA.ipo chini ya Recon Brown wa south Africa na...
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Nimewasaidia watu wengi kupata viwanja sasa wanaishi kwenye nyumba zao viwanja nilivyo navyo kwa sasa ni ukubwa tofauti ukitaka 20/25-30/30 vinanzi ml 3.5 na kuendelea kulingana na mahitaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau habari!nimekuja jukwaani hapa kuuliza jambo moja juu ya ushuru wa kuingiza piki piki na bajaj toka nje,nilikua napenda kujua je rate za ushuru wa kuingiza vyombo hivi hapa nchini toka nje...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom