Habarini wakuu, kutokana na tatizo la upatikanaji wa mitaji na Ajira kuwa ngumu kwa vijana,kuna wazo nataka toa, kama lilishawahi tolewa humu mnaweza nipa comments au kama halifai pia nahitaji...
Camarades...., Kwa manufaa yangu na ya wengine yoyote aliyeshawahi kufanya hii biashara naomba dondoo za yafuatayo:-
Bei ya kawaida ya kununua vinywaji Beer na ya kuuzia (ya chini kwenye...
ndani iko na duka la dawa pia.kuna bidha za kila aina kama unavyoona shoprite.hiyo supermarket iko changombe mchicha...bei yake ni $113, 000...maongezi yapo...kwa aliyekua serious na biashara au...
Habar wanajamvi naomba kufahamishwa juu ya biashara ipi inafaida kuzidi ingine kati ya bodaboda na salon ya kiume kwa maeneo ya mkoa shinyanga nina tsh:2000000 but kama kuna kitega uchumi kingine...
Utakapojua kwamba haujui, ndipo utakapojua, na hauwezi kujua kwamba haujui kwa 7bu hujui. Hivi pesa humaliza MATATIZO au matatizo humaliza PESA, naomba tusaidiane.
Super gro ni bidhaa ya mimea.
kazi zake:
inatunza unyevunyevu
inaimarisha mmea
inaongeza mavuno yani uzito,wingi na ukubwa
haibagui mmea inafanya kazi kwa mmea wowote
inapunguza gharama za...
salam za dhati kwenu wakuu!
mimi kama kijana nina nia ya kweli,
kwa mtaji mdogo nilio nao , nimefikiria kufanya moja kati ya ....kuuza na kusambaza kuku wa kienyeji /magunia ya mkaa ktk hotel...
nipo kwenye mchakato kuanzisha insurance agents nipo kwenye hatua za kutafuta eneo la kuweka ofisi dsm ni maeneo gan nje ya city center yafaa kwa ofisi wadau wenye udhoefu hii biashara...
Print | Close this window
Bangladesh buys 1,500 T chickpeas at $587.8/TWed Apr 9, 2014 12:40pm GMT
DHAKA, April 9 (Reuters) - Singapore's Export Trading Commodities has secured a tender to supply...
wana jf salam.
mimi ni kijana ambaye nategemea kuingia mtaani siku chache zijazo(nipo kdt cha 6)
kati ya sekta ambazo nafikiria kuwekeza ni katika kilimo kwani baba alipoondoka ardhi ndo...
Nigeria is now Africas largest economy and the 26th world over. True or false? Saturday Vanguard in this special report tried to get answers from Nigerians
By Levinus Nwabughiogu
Jonathan and...
Fri Apr 11, 2014 6:13pm GMT
DAR ES SALAM, April 11 (Reuters) - Tanzania aims to hike cargo volumes through its main Dar es Salam port in 2015 by almost 40 percent over 2013 levels, part of plans...
5th April 14
Bagamoyo residents happy with Sugar project
Polycarp Machira
Bagamoyo residents have welcomed the recently launched multibillion sugar project, saying it will transform their lives...
Habari wanajamvi,nimewahi kulisikia mara nyingi hili neno,ila sikulipa umakini wowote,ila leo ningependa kujua kila kitu khs maana ya real estate na kila kitu kinachohusu real estate.
Kwa idea...
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana
Wadau,
Nafikiria kuingia kwenye biashara ya kujenga na kuzikodisha apartments jijini Dar es salaam.
Nina kiwanja cha 500 sqm maeneo ya katikati ya Morocco na Victoria (upande wa Petrol Station...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.