Habari zenu wakuu,Tafadhali naomba msaada wenu wa mawazo jinsi ya kuwa wakala wa Bima.
Ukianzia na taratibu zake mpaka kufikia kuwa Agent na pia gharama zake katika kulifanikisha hilo.
Pia...
Hii Siagi ya karanga imetengenezwa May 13, 2014 na ina-expire May 13, 2015 na imeingia tayari sokoni, najiuliza tu, TBS mko wapi na mnafanya kazi gani? Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo.
As usually to me everywhere is my
learning classroom.
Today in my work cycles I went
through a Market of Lushoto district.
I saw a large number of people
were buying and selling. Due to host
of...
Wakuu ni njia ipi nzuri zaidi ya kutengeneza business capital from scratch? Yaani, kwa mfano una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji na lengo lako ni kupata mtaji mdogo na kuukuza haraka ili...
Zaidi ya watu watano wakiwemo mabosi wa TelexFree wanashikiliwa na FBI/SEC kwa makosa ya jinai ya wizi kwa njia ya mtandao! Mamilioni ya 'wawekezaji' wanaidai TelexFree zaidi ya US$1b akiwemo...
Wadau,Nimemaliza chuo kikuu mwaka jana na napenda sana kujiajiri,naomba mwenye uelewa kidogo kuhusu Biashara ya Asali anijulishe.Nikiwa na maana ya soko(place & price),mtaji kiasi gani utafaa na...
Habari wana jf.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kutokana na kuwa na wateja weng kwenye mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa.
Tumedhamiria kufungua tawi mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa.
Hivyo tunahitaji...
Local investors $ 35m luxury lodge project hangs
in the balanceBy Arusha Times CorrespondentAn Arusha-based local investor has complained to the government and its agencies over his stalled...
Naomba kujua kujua kodi ya kuleta gari aina ya suzuki escudo ya 2006 bei yake ni usd 8300 mpaka mombasa. Matumizi yake ya mafuta, uimara wake pamoja na spare. Ila siyo ya biashara.
Afraid of losing all your money when youre importing from China?
You should be, and youre not alone. Paying frauds are one of the most common forms of scam, and they are targeting small to...
Habari za sikukuu ya Pasaka?
Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6...
Wana Jf Habari Zenu.
Mara nyingi nimekuwa nikiagiza bidhaa mbali mbali kutoka nje ya tanzania ila kero kubwa imekuwa ni makato makubwa yanayotozwa pale bandarini bila kuzingatia viwango halisi...
Ramani za ujenzi wa nyumba husumbua vichwa sana vichwa wengi wanapohaha kutafuta na kubuni ramani iweje. Na pengine tunaangukia kuchagua ramani ambayo umalizaji wa paa lake hutugharibu sana pesa...
naamin huku nitapata majibu kwa kuhitaji kufanya biashara na msumbiji. tafadhari yeyote mwenye taarifa na ujuzi wa biashara kati yetu watanzania na nchi ya msumbiji naombeni nizifahamu wadau...
wanajf naomba mnijuze,eti mume na mke wakiwa wafanyakazi za kuajiriwa ndiyo wanakuwa na maendeleo zaidi kuliko mmojawapo akiwa mfanyakazi mwingine msaidizi wa nyumbani?
Habarini ndugu zangu! Mimi ni mwajiliwa kampuni x,kipato changu kwa mwezi ni 1.5m,nina mke na mtoto!
Katika maisha kuna plan tofauti
A-Nyumba,gari,vitegauchumi;
B-Vitega uchumi,nyumba,gari(au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.