Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hii tabia ya kugharamia siasa hapa Tanzania itaisha lini. Hebu angalia mamilioni yanayoteketea kupitia: 1. Ruzuku ya vyama vya siasa 2. Vikao vya bunge la kawaida na katiba 3. Chaguzi Kwanza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu mie ni mjasiriamali mpya na kuna bidhaa nataka kuongeza hapa dukani kwangu ila mtaji umepungua,hivyo basi naomba mtu yeyote anikopeshe laki moja kwa riba ya asilimia kumi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatimaye mtandao maarufu wa upatu (ponzi/pyramid scheme) wa TelexFree umefungwa rasmi mapema leo. Sasa ni kilio kwa wote waliotupa pesa zao na kutegemea kuvuna mamilioni ya dolari. Ufuatao ndio...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wana-uchumi chambueni kitabu hiki Toxic Aid: Economic Collapse and Recovery in Tanzania - By Sebastian Edwards Unaweza kusoma kutoka Toxic Aid: Economic Collapse and Recovery in Tanzania -...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasalimu wadau. Nipo katika mchakato wa ku-Import used SUZUKI CARRY 2TON ya mwaka 1990. Hivi gari kama hili ni utility au non utility? Na ni kweli kwamba Utility car haina import duty?
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Za leo ngugu zangu? natumaini mambo yanaenda vizuri. Hivi karibuni nimekuw nikiwaza sana juu ya kufanya small investiment hapa bongo, na nimepata mawazo mawili: 1. kununua mashine ya kusaga...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Nauza kuku pure kienyeji majogoo na majike. Being zinatokana uzito wa kuku. Pia Mayai kienyeji trei 15000. Nipigie nikuletee ulipo Kama no hapa dar . 0712878737
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Lipa Madeni yako yote. (Pay your Debts) 2. Weka akiba ya kipato chako (Save) 3. Fungua Biashara, anza na biashara ndogondogo (Small investiments). Unaweza kuongezea na kutoa Maelezo!
4 Reactions
10 Replies
5K Views
Hello Great Thinkers! Hodi tena ndani ya mjengo wa watu wenye fikra pevu na mawazo thabiti ya kujenga hasa katika kitengo hiki cha kukuza uchumi, yaani jukwaa la biashara-business forum...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ndugu wajuzi wa fedha za kigeni naomba mnijulishe dola moja ya marekani ni shilingi ngapi kwa tz?...na hii us $179.56 ukiibadili kwa fedha za kigeni utapata shilingi ngapi za tanzania?????naombeni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tunauza bidhaa za kutumia na kutupa (disposable), bidhaa zetu ni bora na bei nafuu, watumiaji ni watu wenye shughuli mbalimbali, mahoteli, madukani n.k, wasiliana nasi kwa email adoo1@hotmail.com...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu waTanzania wenzangu Hivi juzi juzi nimepata bahati ya kufuatilia mienendo ya safari za Mtanzania mwenzetu Kinana japo mimi si mfuatiliaji sana wa mambo ya siasa ni juzi tu nimepata...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
xtreme fuel treatment ni bidhaa toka marekani itumikayo kwenye vyombo vyote vitumiavyo petrol au diesel kwa ajili ya kusafisha mafuta yaliyochakachuliwa na kufanya gari yako kupunguza ulaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I found this website Adgraft.com pointing to www.adgraft.com its an ad classified site and an auction site present in Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, Ethiopia, and Somalia One thing that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, ninatamani kuanzisha biashara ya huduma ya fedha(mpesa, tigopesa na airtel money) tatizo sijajua mimi mwenye biashara faida yangu naipataje.....asanten
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati sasa umefika kwa mamlaka husika kutoa bei elekezi kwa maji ya kunywa ya chupa! Pamoja na kutofautiana ubora wa vifungashio, naona dhuluma kubwa kwa mlaji ikizingatiwa maji safi na salama ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka ushauri wa bure kutoka wana jamii forums je MABATI YA KUEZEKEA NAYAONA SEHEMU MBALI MBALI YA RANGI ZA BLUE NA KIJANI NA KADHALIKAJE YANAITWAJE NA YANAPATAIKANA WAPI?NATAK KUEZEKA NYUMBA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu zangu inaabidi tubadilike tuachane habari yakulima kwa mkono,imeshapitwa nawakati nikujirudisha nyuma kimaendeleo.nimepitia post nyngi sna hapa jf kuhusu kilimo nilichogundua watu bdo...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
There is a secret psychology to money. Most people don’t know about it, that’s why most people never become financially successful. A lack of money is not the problem, it is merely a symptom of...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimesoma mahali watu wanalalamika kuhusu marubani wa kitanzania. Kumfundisha rubani mmoja kupata commercial license inachukua karibu dola 40,000 au zaidi kwa mafunzo ya miezi mitano hadi minane...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom