Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nimewaza sana kuhusu umuhimu wa ulevi wa pombe na sigara kwa walevi nikagundua kwamba ulevi huu hauna umuhimu wowote kwa wahusika, uwe wa kiafya au kiuchumi. Madhara ya pombe na sigara kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeanza kufuga kuku 15 jike 12 jogoo 3. Tatizo hapa Mpanda nilipo chanjo za kuku hazipatikani. Msaada kwa anayefahamu mitishamba ninayoweza kutumia kukinga na kutibu kuku zangu dhidi ya magonjwa...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Unaweza nitengezea Logo pamoja na hivi vitu hapa?:- 1.Proforma invoice template 2.Tax invoice template 3.Delivery note template 4.Headed Paper template. 5.Business Card template. Kama ndio ni kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mbegu ya kitunguu ni sababu mmojawapo kilimo cha kitunguu kuwa ghali,na mara nyng mbegu huwa huuzwa ghali sna napamoja kuwa ghali huwa hufanya vibaya nakuangusha wakulima.mara nyng makampuni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Kwako Mjasiriamali unayetaka kuanzisha biashara au uliyeko kwenye biashara lazima utambue umuhimu wa kuwa na mpango wa biashara (business plan). Malengo yake ni 1.kukusaidia...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Jamani members naomba msaada wenu wa kimawazo, baada ya kugraduate na kusota sana mtaani na ku hustler nimeweza ku-make 2m, sasa naomba msaada wenu wa kimawazo ya biashara ama nifanye kitu gani na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
naombeni mnifahamishe full system yakununua kitu online kupitia ebay na vp utakipata kitu hico...please wajuzi nisaidieni
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Salaam wa wanaukumbi naomba kujulishwa kama hapa dar es salaam kama kuna flat zinauzwa kwa njia ya malipo ya instlament yaani kama kuna mjenzi anajenga jengo la ghorofa kumi na zaidi na huwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kuna thread iliahi kuwepo huku kuhusu vikoba,i nimeifdanyia kazi na nimeanzisha kikundi cha vikoba arusha ambacho kinaanza leo tarehe 25 mwezi wa 4 2014,kwa wale walioko arusha wenye interest...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mashine ya kupikia/kutengenezea burger inauzwa zipo kubwa na ndogo....zote zinatakiwa 1.9milion tsh.ziko hapa dar.kama ulikua na ndoto ya kuwa na goli la kuuza burger kama jamaa wa pale moroco...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Isa
Habari ya sahizi wadau naomba mnijuze juya biashara ya hisa 1) ikoje sokolake 2) unafaidika vipi? 3) unafatiliya vp sokolake?
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Habari zenu wana janvi, ninamtaji wa 5 million na nataka kufanya biashara ya mahindi ktk msimu huu wa mavuno, kwa mwenye uelewa mzuri na biashara hii naomba kujua mwenendo wake ktk mikoa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wanaJF wenzangu, mwenya taarifa za shamba la kilimo cha umwagiliaji(mbogamboga) linalokodishwa kwa msimu wa mwaka mmoja naomba anisaidie. Shamba lisiwe mbali na Dar ili niwe na uwezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
i am need of a cooking for all can of food asian,americano,even african food and a baking book too. hope the will be someone to show me where i can find them. thanks
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Kuna usemi unasema "It's easy to get new customers, but hard to retain them" What I know is Reputation is one of the pillar of a business in generating sales. Nimepost hii kwa sababu ni mara...
1 Reactions
2 Replies
916 Views
Taarif za makampuni makubwa (too big to fail or tech giants) kama Blackberry, Motorola, Siemens na hivi sasa Nokia kufulia kibiashara ni ya kutisha sana! Taarifa za hivi karibuni zinasema kuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa Emmanuel, 23 yrs. Ni mwanachuo wa chuo fulani cha mifugo (ngazi ya diploma) mkoani Dodoma. Mnamo mwezi Julai hadi Septemba (miezi miwili) nitakua likizo. Ombi: Kwa mtu yeyote yule ambae...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Ninauwezo wakupata samaki sato wakubwa zaidi ya 30 kila siku, mwenye hotel au mwenye kuitaji naomba tuwasiliane,
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari ndugu wana jf, Nimatumaini kuwa tumeamka salama kabisa tuombe Mungu pia atujalie afya njema na kutubariki tuweze kupata mkate wetu wa kila Siku. Ndugu wana jamvi Mimi natafuta mpharmacia...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Back
Top Bottom