Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, nimerasimishwa ardhi na kama ekari tatu ivi na halmashauri ya kijiji cha msangani. Sasa swala langu ni je ninaweza nikatumia ardhi hiyo kukopea benki? kwangu mimi naona pale nikaweka mradi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari, bei ya chupa au makopo yanayookotwa barabara kwa viwandani wananunuaga kilo sh/= ngapi? Viwanda gani zinanunuaga?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Looking for a REAL way to earn money online?,No purchase requirements...ever! Start earning income immediately just by doing simple free actions, Get access to free online Business Training, Fast...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
habari za kwenu wana jamvi. kuna baadhi ya nchi nimeenda nimekuta mashine za kutoa fedha aka ATM zinamilikiwa na watu binafsi lets say mimi nanunua mashine zangu naziweka pale mtaani, alaf nakuwa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
habari wakuu. Nahitaji niwe naprint t.shirt. Zamani nilikuwa natumia X-Ray. Yani unaichonga arafu unaiweka kwenye T.shirt arafu unachukua sponji unachovya kwenye rangi kisha unaprint juu ya ile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UH OH! Bad news for TelexFree! I've been warning people for the past 6 months, especially in Africa, that TelexFree was likely to get hit by regulators in the U.S. (SEC, FTC, Secret Service...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Hii tabia ipo na ni mbaya sana sababu mwisho wa siku mtu anaacha biashara ya kuuza gazeti kwa kupata hasara kumbe muuzaji ndiyo anafirisi. Tanzania kumeibuka mtindo anayeuza gazeti anakodisha...
3 Reactions
5 Replies
5K Views
Mimi ni mteja wa vodacom,ninakuwa bored na ofa yao ya kipuuzi ya hello Tanzania,wanaipa promo na matangazo kibao utafikiri ni ofa ya maana,eti sekunde 60 kwani wanaona aibu kuitaja kuwa ni dakika...
0 Reactions
2 Replies
872 Views
habari wadau..nisaidieni kujua wapi Rim zinapatikana kwa bei yajumla ambako wenye stetionary kubwa huchukua huko nakuja kuuza jumlajumla.nisaidieni.
0 Reactions
1 Replies
941 Views
niaje wana jf nina mapera kama ton 2 tunategemea kuvuna natafuta soko la uhakika wa kuyauza...nani mwenye idea ani juze
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Naomba niulize swali, nafanya kazi serikalini, kwa Bahati nzuri nimepata kazi nyingine ya private ambapo wananilipa vizuri na kwa mda huo nimechukua mkopo NMB na katika makato cjafikisha hata...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Kuna samaki aina ya Jodari, Changu, Tasi, Kibua, Chewa, Ngisi, Pweza, n.k Naombeni mnisaidie, ni hoteli au mgahawa gani na wananunua samaki aina gani hapa Dar? Ni vendors gani pia wanaonunua...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Eneo la shamba la kujenga nyumba linauzwa lenye ukubwa wa mita za square 20 kwa 20..lipo mbezi kwa msuguri mtaa wa Saranga.. Phone No:0757 743712
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni siku nyingi sana natamani kumiliki saloon ya kiume ya kisasa lakini kikwazo kikawa ni mtaji.. Lakini kwa sasa nimejikusanya na kupata million mbili., naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa yeyote Mwenye kuhitaji kununua Asali kutoka kwa wakulima ipo ya kutosha. Inatoka sehemu za Singida na Njombe. Ni asali ya Nyuki wakubwa,ila ukihitaji ya Nyuki wadogo pia inaweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eneo la shamba la kujenga nyumba linauzwa lenye ukubwa wa mita za square 20 kwa 20..lipo mbezi kwa msuguri mtaa wa Saranga.. Phone No:0757 743712
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear Jamii Forum Members,May I take this opportunity to introduce to you Migration Solutions Canada (MSCI) MSCI is an accredited and Canadian Government authorized and licensed Immigration...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Ninauza majogoo ya kienyeji kwa yoyote anayehitaji au anayefahamu mtu anayehitaji naomba tuwasiliane kwenye email dconsolatha@gmail.com Kila la kheri wakuu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Nataka kuanzisha kampuni, niliona thread inayoeleza taratibu za kufata, lakini mie kidogo nna maswali mawili matatu ivi.... Kuna kampuni tayari ipo, ishasajiliwa na ina business...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu. Kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kufanya biashara ya asali, hapa Dar ila bado ndoto yangu haijafanikiwa kwa kukosa mtaji wa biashara. Kwa Dar peke yake kuna soko kubwa sana...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…