Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

KWA UFUPI Hata hivyo, kodi hiyo imerejeshwa kwa staili nyingine baada ya kuongezwa katika tozo la kodi ya manunuzi iliyokuwepo kutoka asilimia 14.5 ya awali hadi asilimia 17. Dodoma. Serikali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu, KUNA kisa cha bwana mfuga kuku aliyeshangazwa kwa kuku wake mwenyewe aliowafuga kumkataa. Alishangaa iweje kuku aliokuwa akiwapa pumba na mtama, wakala wakashiba, kisha waje...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za muda huu... Wakuu nna shida anayeweza kunifahamisha Nauli za Ndege(hasa fastjet) Zanzibar to kigoma! Kigoma to mwanza! Mwanza to Arusha! Arusha to Dsm!! Ntashukuru sana!!sitarajii majibu...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Ukihitaji nipigie 0714064767 ILA unatakiwa kuwa mwaminifu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naweka program kwenye simu kwa ajili ya ulinzi na kuitrack kujua ipo wapi, na atakayekuwa anaitumia baada ya kuibiwa anaitumia kwa namba gani. Utaipata tu ukitokea imeibiwa. PIA TUNATOA USHAURI NA...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naombeni mwenye kuwafahamu hawa jamaa vizuri na huduma zao zikoje anijuze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete KWA UFUPI Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2013 lilishuhudia wabunge wa chama tawala wakitumia wingi wao bungeni kupitisha kodi hiyo ambayo iliamsha hasira na vilio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu! Nimemaliza chuo kikuu mwaka jana namshukuru Mungu nimepata kazi japo ya kawaida lkn maisha yanasonga. Nina kama milioni tatu kwa sasa mfukoni na malengo yangu nahitaji hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tawi la Azania Arusha Mjini Limeharibika sana Kiasi kwamba wateja Wanaondoka.Kero kubwa sana ni afsa mikopo Muheshimiwa sana John,Afisa uyu amekuwa akitaka rushwa kubwa sana laki tano kwa wateja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Source: VanillaReview.com · Tanzania Mr Daudi’s Tanzania Vanilla PlanifoliaMarch 2, 2009 in Mr. Daudi's vanilla, Review | No comments Mr. Daudi’s Tanzania Vanilla Planifolia Mwanza, Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina kazi sehemu ya kusupply.. kazi inalipa ninauzoefu nayo. Kwa yule ambaye yuko serious anayo cash na hajui cha kufanya anipm
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Scott Firsing, director of Pretoria-based North American International School (NAIS) The African continent maintained relatively strong economic growth in 2013 despite the inevitable effects of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanajukwaa wenzangu. kwanza kabisa asalaam alaykum pia bwana yesu asifiwe sana. Mimi nina nia ya kuanzisha biashara ya upigaji picha katika maeneo ya jiji la Mwanza. kuna mtu yeyote mwenye...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Fursa pekee kwa wazazi juu ya Malezi bora ya watoto. Kutokana na kasi ya Maisha na Dunia kuwa Kijiji Kimoja, wazazi wengi wameishia kuwa na watoto lakini hawapati muda wa kutosha wa kutoa mafunzo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
By Dawa ya Mjinga Kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza, tena kiza kinene. Sasa hivi Tanzania kuna kinywaji kinachoitwa Konyagi na ndio maana jina jingine la gongo ni konyagi pori. Kwa...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wadau ninaelekea china kibiashara, naomba msaada, kama kuna mtu anayejua kuhusu kusafirisha bidhaa kutoka china kwenda tanzania, na je ni muda gani bidhaa zinakuwa zimeshafika, ni mzigo wa vifaa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Hello wana jamvi! Kama Kamapuni imesajiliwa na yenye kujihusisha na shughuli mchanganyiko; mfano kusupply stationery, kusupply lubricants nk JE inatakiwa kuwa na leseni kwa kila shughuli? Kampuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
My wife has 20m cash and is looking for lucrative business idea, originally she had thought doing micro-finance business but she is afraid or risks involved. Is there any one with business idea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wa Jf, Naomba kwa wanaofahamu maana ya hisa. Nimekuwa naskia mtu anauza HISA kwenye kampuni au Bank Pia saccoss wanasema sana kuhusu hisa,what is it?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimelink Debit Card yangu ya NBC na Paypal. Kawaida huwa nanunua vitu toka mitandao mbalimbali inayouza vitu online. Mara chache sana nimekuwa ninarudishiwa pesa kwenye card yangu ama kwa kuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom