Kama Unajiusisha Na Biashara Tajwa Hapo Juu Nipigie 0765111010 ili nikuonyeshe soko lilipo sio kukaa tu na bidhaa hapo kariokoo, tukiaminiana tunaweza form uhusiano wa kibiashara, ila uwe unauza...
Habari wana jf. Nauliza ninaweza pata wapi miembe ile ya muda mfupi? Je ninaweza panda na minanasi pamoja na hiyo miembe kwenye shamba moja? Location ya shamba ni kimanzichana.
naitwa ally ni mwanafunzi wa UDSM mwaka wa tatu nauza simu aina tofauti kama sumsung galax s1-250,s2-350,s3-650,s4-850,note 1-450,note 2-700,note 3-mil1.3,pia kuna huawei 150,sumsung duos 250,na...
Maeneo ya kitunda mwembeni,na kina nyumrba usawa wa madirisha yenye vyumba vitatu sitting room,master mbili na jiko na uwanja mkubwa eneo linaruhusu gari kupita umeme umefika na pia karibu na...
Habari zenu wakuu,
Nawatakia mafanikio, amani na afya njema katika Mwaka Mpya unaokuja wa 2014.
Mwaka 2012 tuliregister Limited Company by Guarantee without Share Capital. Tukaenda TRA tukapewa...
wadau naomba kuuliza kuhusu hii kitu ni kwamba kuna mwana JF mmoja alikuja na maelezo yanayohusu kujiunga na CareerDollar kisha kutengeneza pesa bila ya kutumia nguvu nyingi.
Sasa wana jf wengi...
Serikali ya TZ ilisimama vizuri kutetea kampuni zao na naunga serikali ya TZ mkono hapa, hiyo inafaa iwe sheria kila pahali; maduka ya retail yakifunguliwa yanafaa yauze vitu vya local sio kuleta...
Great opportunities are always blurred when they originate. Here is one of those, a free opportunity to become a Founding Member of next generation global App and hence get opportunity to leave...
Habari ya hapa wakuu...
Leo katika jiji la mwanza ni taafulani baada ya wafanya biashara wote hapa kutanga mgomo kwa siku zisizo julikana, lengo ikiwa ni kufikisha ujumbe kwa TRA, juu ya...
Habari wana JF
Naomba mwenye uwelewa wa jinsi ya kuandaa hydroponic nutrients na kama anaweza nifundisha kidogo niko tayari, nahitaji msaada wenu wa dhati
According to one source, there are more than 164 million blogs...
But why do bloggers (and the blogs they create) fail?
And more important, how do some people beat the odds
and build blogs...
Ninauza kiwanja Goba Mtaa wa Matosa (Tegeta A) kimepimwa kiko kwenye Plot 55 kina ukubwa wa mita za eneo 2,476 (yaani 2,476 Sq M). Umeme upo karibu tu na nguzo moja tu.
Umbali kutoka Tangi Mbovu...
Nina piki piki tatu aina ya cluser,moja mpya kabisa na nyingine mbili ni good second hand (zimetumika kdogo) na zote zimesajiliwa kila kitu pamoja na bima, bei ni kuanzia SH.MILION MOJA NA LAKI...
wakuu mi ni mjasiliamali nilio na miti 1000 katika wilaya bukoba vijini sasa nahtaji ushauri jinsi ya kuweza kukopa benki kwa kutumia miti kama dhamana.miti hiyo ina umri wa miaka 10 sasa na ni...
Kuna dawa za duo cetexin zimetapakaa madukani ambazo zimekwisha muda tangu november 2013 mbaya zaidi wamejaribu kufuta maandishi ya kwenye box na kuya edit ile tatu kwenye mwaka 2013 imebadilishwa...
Watu wengi walio kwenda shule wanaugonjwa mmoja , wakuto fanya makosa, namaananisha wanaogopa sana kukosea. Wanajitahidi sana kuwa smart hasa wale wenye akili.. wakati wale wa class D darasani...
Juzi nilipokuwa napitia malengo niliyojiwekea mwaka huu nikagundua kuna vitu viwili nilitarajia kuvifanya mwaka huu. Nilitarajia kuwa na shamba la migomba, mpaka jioni ya juzi nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.