habari waheshimiwa.naomba msaada wenye
uzoefu na haya mambo.kuna jamaa yangu
alimuona muuzaji ktk site ya Nifahamishe uza na
nunua.ana uza mobile phones location hungury
ila contacts zake za...
nina kama milion10 naitaji kununua gari za kuagiza inje ya inchi mfano japan, hiyo hera nimetenga pamoja na ya kulipia ushuru,naombeni mnisaidie inakuwaje utaratibu wa kuagiza na aina ya gari...
Nimesikia matangazo ununuzi wa hisa za Mwanza Community Bank PLC umeongezwa muda, Biashara hii ya Hisa kwangu mimi imekaa ki-speculation zaidi kwa maana unawekeza/unatupa pesa zako huko lakini...
wana jf naomba mawazo yenu nina laki tano najikanganya kati ya kufuga kuku wa kienyeji na kulima viazi mviringo, au ninunue shamba nipande miti. nashindwa kuchagua,msaada wenu ni muhim sana tafadhali.
wana JF baada ya kuwepo kwa vingamuzi vingi nchini sasa nahitaji hki cha azam nikijaribishe naomba kwa wenye kujua vinapatikana wap maeneo ya Mbez-temboni kimara au maeneo jirani siihitaji kwenda...
Failure to implement single customs territory a costly mistake. Rwanda;Burundi Uganda kuhamia Mombasa
Standard Digital News - Mobile Site | Kenya :: Brave new dawn as EAC single customs...
Mwezi wa kwanza kabla haujaisha nitakuwa tayari nimeanza kufuga nguruwe kidogo, kuku kidogo na mbuzi kidogo.
Naombeni mnisaidie kutunga jina ambalo ji zuri, lina kumbukika kirahisi na ambalo...
The Manta Resort on Pemba Island, off Tanzania, opened a new Swedish-designed underwater bedroom this month. The resort says six guests have stayed in the new digs so far.
The three-level...
Mwenye gari aina ya Noah nataka niingie nae mkataba niwe namletea shs 200,000/= kwa wiki ninayo tenda ya wanafunzi WA chekechea ubungo nani naishi ubungo shule inafunguliwa wiki ijayo tarehe...
Mimi ni mwanajf, natamani sana kufanya biashara ya simu kutoka kwenye makampuni husika kwa njia ya mitandao kwa kutumia website zao zinazorushwa mitandaoni kwa njia ya matangazo ili niweze kuuza...
Habari wanajukwaa, mimi nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza juice ya maembe ila sijafahamu wapi exactly yanapopatikana maembe ya biashara..msaada tafadhali.....Naishi Kinondoni Dar..
Please visit DSE Blog and Social media pages for more information about Stock exchange.
facebook: https://www.facebook.com/dsetanzaniia
twitter:https://twitter.com/dsetanzania
Blog: Dar es...
Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya, wakati tukiendelea kuukaribisha mwaka mpya hebu tuukaribishe na mtizamo huu katika biashara, kwamana kwamba kuna ukweli wowote katika mitizamo hii ama la...
Mimi wakati mwingine hua sielewi serikali inawaza nini...tatizo si la wafanyabiashara tatizo ni approach iliyotumiwa na serikali na tra katika kusambaza hizi mashine za tra.Safari hii imekuja...
KWA MAHITAJI YA KUANDIKIWA WRITEUPS ZOZOTE kwa ajili ya jambo lolote mf. Business, miradi ya kijamii na ya kiuchumi, tafiti, marketing, facility use etc, Wasiliana nasi, tupo mbeya mjini, firm...
Nina kibiashara cha mini super market sasa nataka kufanya biashara ya malipo kwa mtandao yaani mpesa,tigo pesa,eatel money na kuwa wakala wa luku,mwenye ujuzi na haya mambo anishauri nianzie wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.