Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

5 Reasons to File Your Taxes Early You'll also likely get your money in a shorter amount of time if you file earlier than the person who files a month or two after you, according to Elaine...
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Wadau naomba mnipe ubora wa hiyo gari , upatikajami wake wa spares na ,bei ya toyota vista ya 2003,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wadau wa jf natafuta gari ndogo ya kutembelea used kwa shs mil 3 cash, sina zaidi ya hapo mwenye kujua wapi naweza kupata naomba anisaidie wakuu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Bei ni m12 imetembea km 51 elfu ni model ya Mwaka 2000 Rangi yake ni golden light Imeingia nchi mwaka 2013 ilikuja na km 45 elfu picha nitakuja weka mwenye hitaji aje PM....nitampa namba aje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni ushauri,magari yaliyo tayari hapa nchini kwa kampuni tajwa hapo juu toka october mwaka jana na november yanaweza kuchajiwa kiasi gani port fee? Ni na mpango wa kununua gari moja wapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhima wanajamvi naomba kuwakilisha ombi langu la kusaidiwa kupata hiyo spare (iwe Mpya au Used) Nitashukuru zaidi kama nitapata makadirio ya bei na pakuipata. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji hiyo gari used hapa tz, iwe nzima kila idara. Nyeusi itakuwa poa zaidi. Bajeti 3.8 to 4.2 m. Ni pm
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samsung fridges
0 Reactions
4 Replies
915 Views
wakuu naomba mwenye kujua eneo wanalokodisha kwa kilimo cha kitunguu kwa umwagiliaji kwa kuwa nina pump ya inchi tatu na msimu utakuwa mwezi gani pia kama itawezekana nipeni gharama za kukodi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina miliki kuwanja maeneo ya kigamboni nilinunua mwaka jana sh milioni 6 .... Kiwanja kimepimwa na kina hati ya serikali yaani ni kiwanja chenye sifa zote... Sasa kuna mtu kajitokeza anakitaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Brand new samsung Audio system special at your room or shop place with different price from 290,000. 360,000. 480,000 contact: 0718268969
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Napenda kuutumia muda huu kimshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kimaliza masomo yangu katika chuo kikuu cha dar es salaam. Pia napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuendelea kunipa pumzi ya...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Kheri ya mwaka mpya kwa wana biashara wote. Nimepata deal la second hand car tires kutoka moja ya wadau wangu wa muda mrefu. Mdau huyu anasema ana uwezo wa ku-supply haya magurudumu kwa kiasi cha...
1 Reactions
2 Replies
966 Views
Watu tumeamua kujiajiri katika kilimo lakini cha kuskitisha hakuna soko la uwakika. Huku songea kipindi cha mavuno serikali ilinunua mahindi kilo kwa tsh 500 kwa muda mfupi ikatangaza kuishiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kichwa cha somo hapo juu chahusika.. kwa aina nyingine iwe ni toyota tu isipokuwa hizi aina ya mark II sijui na nyinginezo zinazotumika sana kama za tax (hizo hapana). bei taja bei, mwaka na...
0 Reactions
59 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu, Nategemea mnaendelea vizuri na pirikapirika za kujitafutia kipato. Nashkuru kuifahamu jf, kwa kweli ni sehemu muafaka ya kuzidisha maarifa binafsi ya fani fulani na ya maisha...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Do you want your career or business to soar like the EAGLE in 2014? Then join B.I.R.D.S- Business Information & Referral Development System Ever wonder why you have worked very hard and yet very...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Not all of the travel companies do enough job to provide consumers with an inspiration to book holidays online. As online travel going more social, holidaymakers trust more their friends and...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Samsung acs window type, btu 22000, @550,000. contact: 0718 268969
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Ndugu zangu naomba msaada tafadhari ninao kuku 180 wakisasa wa nyama wapo mjini Dar Mtaa wa Ukonga Moshi bar kwa anaehitaj bas ani PM tufanye kaz NB: Kuku ni wazur wote na bei yake ni nzur...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Back
Top Bottom