Now that we are getting stronger by day, Perfect Internet has decided to use our worldwide network of members to share great products/services offered in your local area and internationally...
Hallo Wana-JF
Mimi huwa inanishangaza kitu kimoja barabarani, wakati unaendesha then ghafla unakutana na Gari kama yAko then unaitupia jicho, cha kustaajabisha unakuta namba ni Mpya hata mwezi...
Written by Ashakh (Kiongozi) // 19/12/2013 // Habari // 15 Comments
ZSTC zatiliana saini na Land Co ya Japan kuzalisha bidhaa za mafuta ya mimea
BAADHI ya Bidhaa za Mafuta ya Memei...
Jifunze kuweka Akiba
Unapozungumzia swala la hela ni lazima kila binadamu atahusika kwa namna moja au nyingine. Fedha ni moja ya vitu vinavyoamsha hisia za binadamu wote bila ya kujali umri...
Nimekuwa nikitafakari sana hizi foleni kwenye mizani na hasa kwa magari ya mizigo ambayo yamesheheni bidhaa mbalimbali ambazo ni uti wa mgongo kwa biashara na uchumi wa Taifa, yakiwemo mafuta na...
Nipeni ABC za kupata uwakala wa kuwa msambazaji na muuzaji wa maji ya Kilimanjaro katika eneo ili la Kanda ya Ziwa.
wadau nipo moja ya Wilaya za pembezoni lakini naona kuna shida ya kupata maji...
Habari wana jf?
Nilikua naomba kuuliza kuhusu usambazwaaji wa bidhaa hiyo utaratibu ukoje?
Mimi nipo hapa moro na kuna watu wengi wanaulizia sana decoder hizo sasa naomba nijulishwe.
FURSA FURSA FURSA
hii ni moja ya fursa kwa vijana, umehangaika kwa muda mrefu kwa kutafuta kitu cha kujishughulisha nacho lakini bado ujajua. hii ni fursa nzuri sana kwako kijana.
ni kampuni ya...
Kwa wale mnaoratajia kununua Hiace kwa ajili ya kutoa huduma ya usafirishaji maeneo ambayo usafiri huu bado ni muhimu (hususani maeneo ya miji midogo na ama kusafirisha wanafunzi maeneo ya mijini)...
Katika karne hii ya 21, Karne ya utandawazi.
Taarifa ni kitu muhimu sana katika maisha yetu.Ni taarifa hizo hizo ambazo huleta utofauti kati ya kufanikiwa au kushindwa kufanikiwa katika eneo...
Huu ni muendelezo wa vipindi vya Dar es salaam Stock Exchange, na Leo DSE inakuletea Mahajiano na Makampuni yaliyooredheshwa katika Soko la hisa nayo ni Maendeleo Bank, SwissPort Na Tanga Cement
Nimebahatika kuja US nikiwa kijana bado na hivyo kwa miaka 16 sasa nimejifunza mengi sana. Watu wengi wananiuliza Je vijana Tanzania wafanye nini kuinua maisha yao haraka? je Tanzania ifanye nini...
Naomba mnisaidie,je gharama za Kufunga wiring nyumba ya vyumba vitatu vya kulala size ya wastani yaani Kuweka na luku, Dar es salaam ni kiasi gani?
Naomba gharama rough tu kwa anayejua au kwa...
Nimekuwa nikickia sana uwekezaji kwenye hisa lkn cna elimu yeyote khs hii biashara ya hisa,je naanzaje,napataje faida na mambo kadhalika.naomba mtu yeyote humu jamvini mwenye ujuzi khs hii...