Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

nina fire track sita na contena mbili za 20ft naitaji bei ya transit mpaka bunjumbura total cost ya kila kitu nikimaanisha bandari ya dar-es-salaam , madereva wakupeleka hayo magari sita na gari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je DRC watatumia reli ya Kenya 2018 kusafirisha mizigo au watasubiri watanzania hadi 2050 kuboresha reli ya kati?
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Kwa mawazo yangu zaidi ya asilimia 70% ya madereva hawajui kutumia indicator ifaavyo; Binafsi nimekuwa barabarani muda mwingi na toyo yangu asubuhi na jioni nikienda kibaruani, ukweli ni kuwa kero...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari yenu wanajamvi.. Samahani members, ninaomba kujuzwa juu ya ofisi za clearing and forwarding. I am thinking kufungua ofisi ya aina hii, naomba kujua challenges ambazo they are likely to...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
wapendwa salaam, nataka nifungue ka boutique ka dogo hapo dar niuze vipodozi kutoka uk,swali langu ni hili kuna kodi yeyote mzigo ukishafika bandarini???nitumie njia gani ?zaidi ya kusubiri...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
kuna kiwanja kingine kinauzwa karibu na azam complex.kiwanja kipo kwenye mtaa unaopitika na gari hadi kiwanjani, huduma zote muhimu zipo umeme ,maji, kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 20 kwa mtu...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
habari wakuu.ninapenda kujua ama ushauri kuhusiana na kupangilia viwanja. nina eneo lenye ekari zaidi ya 100 na ninataka kulikata vipande vipande/plots kama 300 hadi 400. napenda kujua sheria ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu najaribu kutafuta website au email,number za Sim za Flamingo Restaurant bila mafanikio. Hembu mtu anisaidie Contacts zao,kama email au number za sim Stay blessed
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi guys, Can anyone help me with a sample of constitution acceptable by Tanzania banks, e.g., CRDB, NMB etc., for Non-registered Group that governs the operation of the aforementioned group bank...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Kuna kampuni moja ipo Arusha eneo la Kijenge ya Juu karibu na Kanisa la KKKT.Kwa kweli nashindwa kuwaelewa kabisa,wamechukua hela kwa watu kwa minajili ya kuzikopesha kwa riba ya 15%.(Wao wanakopa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi namshukuru Mungu wangu aliyehai ninayemuabudu kwa kuninusuru na utapeli uliokuwa ukisukwa juu yangu. Hatari sana,ni kitu ya mchana huu.Kanipigia mtu kupokea kanisalimia kwa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za muda huu wandugu Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Nimekutana na hii huko kwenye mtandao Je hapa Kwetu Viongozi wetu wote Bila kujali aina ya nafasi wa sasa na waliopita wangekuwa CEOs (Finance) ingekuwaje? au kwa maana nyingine unadhani...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Wadau, Kila siku nasikia tu shinda pikipiki tano na shs Milioni mbili...binafsi ningetegemea nione majina ya washindi kama tulivyp zoea kuyaona kwenye promosheni nyingine yakiwa waziwazi kwenye TV...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari jamani,,, Naomba anaejua kampuni yoyote au mtanzania yeyote alowekeza nje ya tanzania anambie,, At least 10,,,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I have a comprehensive business plan for tourism investment in Tanzania (Northern Circuit) I know there are what are called Angel Investors - I am looking for ones. Kindly assist me with links or...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau natafuta mtu anayeweza kuandika REPORT nzuri ya mkutano utakaofanyika Dar kwa siku mbili trh 28 na 29. Akiweza kuwa MC itakuwa vizuri zaidi. Response needed before midnight today! Weka...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Hope all is good have started my company dealing with tourism,but the main chalLenge am facing is the way of getting customer. Please assist.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hamjambo wa JF woote, poleni na majukumu. jamani naombeni msaada wa kujuzwa yafuatayo. nini maana ya maneno yafuatayo,kazi zake na tofauti yake mipakayake 1 TRADERS. 2 INVESTMENT. 3...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Ndugu wadau, Napenda kujitokeza mbele yenu kwa lengo la kuwatangazia juu ya uuzwaji wa mmoja wa mgodi wa kuzalisha dhahabu kupitia marudio kama ifuatavyo: 1. Mgodi huu upo mkoani Mbeya...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…