Kama nilivyoanza hapo juu. Wilayani kwetu kuna mahitaji makubwa ya gari la maji taka na kwa muda mrefu tumetumia gari la Halmashuri ku- discharge maji taka kutoka katika vyoo vyetu hapa wilayani...
The Mara River is an international river, shared between Kenya and Tanzania. The Mara River Basin is about 13,750 km2, of which about 65% is located in
Kenya and 35% in Tanzania.
The Mara River...
THEMI BUILDER has engaged in talks with banks on building projects loan for our clients. once this is done will notify the public upon our mortgaging policy. so stay tuned
Our offices are...
Positioning STRATEGIES for GRADUATE job seekers:
CAREER SUPPORT SERVICES
CAREER SUPPORT SERVICES
Dear Super Applicants,
How do you go about getting your dream job?
In the last ten years in...
My JF Members,
Habari za muda huu!
Naomba mnifahamishe ukweli kuhusu hizi nyumba zinazojengwa na shirika la nyumba la Taifa (NHC) na kuuzwa hasa kwa hapa Dar es salaam bei zao halisi zipoje...
This year, nine individuals join the ranks of Forbes third annual ranking of the richest people in Africa on account of rising stock prices, new oil deals and high-profile M&As, among other...
Kutokana maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani,matumizi ya kadi za malipo mfano WESTERN UNION,VISA,TEMBO CARD etc matumiz yake yameongezeka hasa kulingana na kupanuka kwa soko la kimataifa...
Wakuu, msaada tafadhali kwa anayefahamu taratibu za kupata leseni ya Clearing & Forwarding Agent. Hawa jamaa wakututolea mizigo yetu wanasumbua sana bana!
Kutokana na foleni za magari na usumbufu usiyokwepeka imebidi kuvumbua usafiri wa haraka..... Tumia helikopta.
Helicopter for hire lands on rooftop of ten-storey building in downtown Dar es...
Habari zenu wanajamvi na watanzania wote.
Kuna magari mengi yamefika bandarini Dar Es Salaam.
Ebu angalia baadhi ya magari yaliyopo bandarini kwa sasa. angalia link hii...
Tanzania tuna mambo mengi sana ambayo ni Makubwa na vivutio vikubwa vya Utaalii. Mbuga ya Selous iliyoko hapa Tanzania ndio kbwa zaidi Afrika, hii peke yake inatosha kuitangaza ulimwengu mzima, Je...
hellow ladies and gentlemen.,
kwa hali navyoendelea sasa katika mji wa Arusha, nahisi amani kwa wafanyabiashara haipo tena!
mfululizo wa matukio ya mauaji ya kupigwa risasi kwa wafanyabiashara...
GUIDE to running a BUSINESS like a PROFESSIONAL (MWONGOZO wa kuendesha BIASHARA kama MTAALAMU)RUNNING YOUR BUSINESS LIKE A PROFESSIONAL (The Eight Steps) is a new addition to the book manuals from...
Waungwana niliangiza gari toka Japan,, gari imefika wiki hii na documents pia ila tatizo ni kuwa Appraisal and inspection certificate haziko included, nimewasiliana na seller kasema hatukubaliana...
Wadau kutokana matatizo ya ajira hapa Tz nimeona nijiajiri mwenyewe,baada uchunguzi wa soko la biashar adar kuona lina ushindani mkubwa nimeona ni bora niangalie upande wa mikoani km dodoma mjii...
uwekezaji mzuri unatakiwa uwe na faida walau asilimia ngapi kwa mwezi?
Wasalamu!
nadhani swali langu litakuwa limeeleweka.Ningependa kujifunza kupitia kwa watalaam wanao pitia katika jukwaa...
Msaada wana JF kwa mdau aliefanya business ya kutumia mashine ya max malipo, faida yake inakuaje kwenye hizi mashine, na kipi ni bora kuwa na max malipo machine au kwenda moja kwa moja kuwa na M...
Jamani wanauchumi msaada wenu apa kwenye hili swali.
-Draw hypothetical supply and demand curve for tea show how the equilibrium price and quantity will be affected by each of the following.
1...
Sina nia ya kuharibu biashara ya mtu bali najaribu kuiokoa jamii ya Watanzania wenzangu na hasa watoto. Nimevumilia kwa muda mrefu kero ya tangazo hili la "Hakatwi Mtu Hapa"! tatizo langu ni pale...
Habari wadau wa JF...!
Niende kwenye mada moja kwa moja, Mimi ni mtaalamu wa masuala ya utafiti. katika tembea tembea yangu hapa nchini na kwingineko nimegundua kuna uhaba wa watu fulani kupeleka...