Wadau naomba mnisaidie mtu anayejua jinsi ya kutengeneza pipi na marigafi zinapatikana wapi, na kuweza kupata radha tofaut tofut, au kama unajua wapi pa kupata ushauri pia nitashukuru.
Na pia je...
Kwenye mtaa ninaoishi ndani ya miezi sita iliyopita nimeshuhudia watu watatu wakifilisiwa mali zao baada ya kushindwa kulipa mikopo ya biashara. Na wiki iliyopita maeneo haya haya ulifanyika...
Habari wadau,
Natafuta Toyota Passo ya mwaka 2004 au 2005,nzima, iwe imelipiwa ushuru au kama inatumika, isiwe na zaidi ya mwezi 1 Tanzania.Bei iwe kuanzia mil 5.5 hadi 6.5...
Rangi yoyote isiwe...
Habari wana JF,
Naomba kufahamu gharama za vitu vifuatavyo katika ujenzi kwa mkoa wa Dar na wapi naweza kupata vitu hivyo na ubora wao
1: Madirisho ya Grill
2: Madirisha ya Vioo
3: Milango ya...
Salaam wadau, ninayo dhamana na wazo la biashara lakini kutokana na mfumo wetu wa kibenki hawakopeshi biashara mpya(start up),ndio maana nimekuja hapa. Nahitaji mkopo wa tshs m 100-150,na zamana...
Je unatatizo la Unene?
Ive battled with my weight for years. I finally decided to take charge. I may have seemed happy with myself but like a lot of people was desperately unhappy with...
Mahojiano ya DSE na Makampuni yaliyoorodheshwa kwenye Soko la hisa la Dar es salaam Stock Exchange, makampuni hayo ni Precision Air, TCC na CRDB.
Part 1
part 2
Nikiwa mjini Bujumbura niliiishiwa na fedha za kigeni na hivyo kuwa na shida ya kubadili takribani shillingi millioni 2 za Tanzania nilizokuwa nimebakiwa nazo mfukoni ili nipewe ama AMARUNDI au...
Kwa kuwa Wanywa Bia Hawalipi Kodi ya Aina Yoyote Ile WanapoKunywa Bia Zao, Inapendekezwa Kuanzia Kesho KODI YA MAENDELEO KWA WATU HAWA IWE NI SHILINGI ELFU SABINI NA TANO KWA KILA DAKIKA...
We are looking for Holidays cards distributor whom we can sign a long term contracts -the cards are of its kinds first they will be in swahili-the cards are for new year,wedding,happybirthdays,and...
Iko katika hali nzuri na ina week ya pili tangu iingie kutoka japan. Rangi yake ni kijani na inachukua abiria watu wazima kumi, kwa watoto kumi na tano na zaidi.
Wenye hoteli na kampuni za...
Habari wana jamvi. Naomba msaada wenye ujuzi kuhusu malipo yaincome tax . All details are as follows: Company income per month is Tshs 6m . Expenses like rent and other is 1m . Salaries bill is...
Habari zenu wana JF.
Nina mtaji wa 2m nipo dodoma mjini. Je ni biashara gani inalipa dodoma.
Mimi ni mgeni katika mji huu ndo nimefika mwezi huu nimepangiwq kazi huku kama mtumishi wa umma...
1999 Sliding Skeleton Trailer, 14 Containers Locks,Drum Brakes,SuperSingle Tyres, Zimelipiwa ushuru zote, hazijafanya kazi Tanzania hata siku mmoja, zote zipo Vikindu kama unataka kuziona, Kwa...
Kwa mara ya kwanza Dr. Innocent Chukwuma amewatoa kimasomaso wa Nigeria
Huyu jamaa ameweza kuanzisha kampouni yake ya kutengeneza magari (KIBIASHARA) inayoitwa (INNOSON Vehicle...