Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau, juzi nimesafiri na ndugu mmoja, ni mtu mzima wa makamo, miaka sitini hivi na kuendelea. Njiani tumeongea sana kuhusu kilimo na mashamba. Akasema ana heka hamsini ktk Bonde la Mto Wami...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wenye magari, Nafanya installation ya GPS devices kwa bei nafuu. ambayo yenye uwezo wa ku control gari yako kwa kutumia simu yako ya mkononi kama kuwasha, kutia lock, kuzima na kumonitor...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jamvi ninatafuta soko la unga wa mihogo na mihogo yenyewe inapatikana kwa wingi na kama mtu anajua wapi nitapata soko hilo hivyo anijuze tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF habari zenu? Natafuta wataalamu wa ku-print T-shirts na kofia. Nataka T-shirts 100 na kofia 100. Competitive QUOTE (with best samples & reasonable price will be given priority)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanamitindo wetu wanaofanya mitindo.. HKTDC Hong Kong Fashion Week for Fall/Winter 2014 13 - 16 January 2014 Hong Kong Convention and Exhibition Centre...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Wana JF naomba ushauri kuhusu vitenge(african print) kwa wale wenye uzoefu na bidhaa hii.Nina project inayohitaji kutumia vitenge(african print) kwa wingi(kwaajili ya nguo).Tatizo nimejaribu...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari za jioni wana jamii Kuna mtu yeyote mwenye taarifa za kina kuhusu hii kitu hapa FEP GROUP OF COMPANIES ??? Msaada tafadhali!! CC Ab-Titchaz, Dr. Job, Crucial Man...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UZI HUU NI KWA HISANI YA RAFIK YANGU MNIGERIA AMBAYE UWA NAMLIPA KWA KUNISHAURI MAMBO ZA BIASHARA LAKIN NIMEONA KUSHEA NA NYIE RAIA WAFANYABIASHARA WENZANGU. CHA MUHIMU KWENU NIKUBADILISHA...
1 Reactions
3 Replies
15K Views
Wanajamii narejea tena katika mtandao nikiwa na mada ya Mradi wa Magari yaendayo Kasi Jijini. katika mada hii nataka wanajamii tufanye utafiti wa kujua mara mradi huu utakapokamilika wazawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu! nahitaji cacao iliyokuwa tayari kama tani moja yoyote alie kuwa nayo ani pm tuweze kufanya biashara malipo ni mazuri
1 Reactions
2 Replies
1K Views
International investors choose South Africa , Nigeria and Kenya as the best African countries on the continent for investment in 2011. A survey conducted by Africa Business Panel among 800...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima mbele Wanajamvi! Sisi ni vijana watatu tumeungana tukafungua na kusajiri kampuni ya Mawasiliano. 2 kati yetu ni wazoefu kabisa kwenye fani hii na wameshafanya kazi na makampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Hospitali mmeiboresha kimajengo naamini hata vifaa baadhi. Tatizo lipo mapokezi madirisha matatu ya Bill na records. File la mgonjwa linatafutwa saa nzima alafu Kuna dada m1 mweusi dirisha no 1...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Heshima zenu wakuu, Ninawaomba msaada kwa yeyote mwenye kujua namba za simu za Gavana wetu wa Benki Kuu na Manaibu wake anisaidie kuweka hapa. Natanguliza shukrani!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Kwa anayejua anisaidie angalau kujua ni gharama kiasi gani inahitajika kuweza kufanya kazi ya Utafiti na Uchimbaji wa gasi na mafuta Tanzania. Niliogopa sana kusikia matajiri wakubwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NAOMBA WADAU TUICHANGIE HII HOJA. Watendaji wa mamlaKa ya bandari DAR wanailaumu TRA, na TRA wanaelekeza lawama zao kwa TPA. NANI MKWELI HAPA?
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa dsm sikubahatika kupata mkopo ila kabla sijaanza nilisha jikusanyia kama mtaji wa milioni mbili hivyo naombeni ushauri nataka niizungushe ili inisaidie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua mikopo ya hawa jamaa ukicompare na ya CRDB. Ipi inauafadhali?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau ninaham ya kuanza kwenda nje kununua nguo za kuuza jumla na rejareja. siku zote nimekuwa nachukulia mzigo wangu nairobi , naomba wazoefu mnidadafulie wapi naweza pata nguo za ukweli kati...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Grow your people; grow your business An observer was watching a fisherman having a very successful day. He caught many large fish, however released the large and kept the smaller fish. When...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…