Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Napenda kufahamu ni wapi hasa nchini china naweza pats nguo za cotton or twteon for women. Coz napenda kuanza hii biashara muda si mrefu. Jam nitaweza kupata exact direction of companies/small...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Heshima kwenu wakuu! Nina wazo la kufungua mgahawa sio local sana wala wa kisasa sana, mradi huu nilikuwa na fikiri kuuanzisha morozgoro, au Mwanza na pia nataka nijihusishe na kilimo haswa cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu ana mpango wa kuanzisha kakiwanda ka kutengeneza mafuta ya diesel kwa kutumia mbegu za Jatropha. Kwa hapa tz nilikuwa sifahamu sheria zinasemaje kuhusu uanzishwaqji wa miradi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau leo hii nawaletea habari njema kwa wale watakao itaji ujenzi imara hapa Tanzania kuna kampuni ya wasauth africa wao hutengeneza mashine za Hydraform zinazotengeneza aile tofali...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu salaam. Naomba kubadilishane uzoefu kwenye hili. Nataka kuomba mkopo -(term loan) kwa ajili ya project yangu. Bank ipi haina longo longo? TIB , NBC, CRDB , etc Mwenye kujua /uzoefu naomba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
THE TOP 20 INTERNATIONAL CONTRACTORS RANK FIRM 2012 REVENUE $ MIL. INTERNATIONAL 2013 2012 1 2 Grupo ACS, Madrid, Spain† 42,772.0 2 1 HOCHTIEF AG, Essen, Germany† 34,563.3...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
habari zenu wakuu wa jukwaa hili? samahani naomba mnisaidie mambo matano hv! kwanza, eti kama kampuni ikianzishwa na watu wawili au zaidi, je ni kweli kuwa wote hamuwezi kuwa na hisa (share)...
0 Reactions
1 Replies
762 Views
habari zenu wakuu wa jukwaa hili! wanabodi naomba msaada wenu katika kunisaidia kujibu haya maswali yangu! 1) je ni kweli kuwa kama kampuni ikianzishwa na watu wawili au zaidi, waanzilishi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kwa anayeelewa mambo ya muhimu ya kuzingatia unapotaka kusajili chuo cha kozi mbali mbali chini ya NACTE. Tayari kina jina..kozi na baadhi ya majengo. Chuo bado...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
nafikiria kuanzisha biashara ya kusambaza mazao ya chakula na mifugo kama dagaa na nafaka,kwa anayehitaji kuwa mteja wangu mikoani tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I want to start business.but i don't know which business can i start? any one suggest me which business is more profitable in low capital in Bangladesh?:frusty:
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Deal JF members Mimi sio mchumi, ila leo nilikuwa naangalia hii short documentary ya dakika 7 inayohusu mgawanyo wa pato la Marekani kwa wananchi wake (classes). Kama ni hivyo, basi ubepari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jamvi habari zenu Mimi nimtaalam wa mifugo na samaki ninatoa ushauri na matibabu KWA wale wanaohitaji huduma wanitafute kwa no 0714134004
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PRESS RELEASE DSE PUBLIC AWARENESS CAMPAIGN FOR THE ENTERPRISE GROWTH MARKET “DSEs’ Enterprise Growth Market (EGM) a vehicle to Wealth Creation” The Dar es Salaam Stock Exchange (“DSE”)...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Sasa suluhisho la tatizo lililokuwa linawasumbua kwamuda mrefu sasa limekwish. Spareparts mpya za Laptop na PC geuine aina zote (Brand) kama vile disply/vioo, ram, processor, adapter, battery...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu pole na majukumu, nipo katika mchakato wa kuanzisha photo studio Dar es salaam (itakuwa ni medium). Studio hii itajishughulisha na upigaji picha portraits kusafisha na kuuza photographic...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
10/22/13 - Daily News Online Edition THE Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, and his w ife, Mama Tunu (partially hidden), and Ambassador of China to Tanzania, Dr Lu Youqing, leave the visitors’...
1 Reactions
0 Replies
764 Views
Video kama hizi zinapikwa jikoni. Hebu cheki Watanzania wakiwa katika mihangaiko BONGODAILY RIZIKI POPOTE SIMPLY MGINWA - YouTube
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Hello Wana Forum Habarini za Asubuhi Nafikiri kuanzisha Mradi wa kuuza kuku wa Kienyeji ambao nitawafuga kijijini na kisha kuwaleta hapa jijini Dar! Ningependa mtu mwenye uzoefu na biashara hii...
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Nanunua mafuta ya kupikia ambayo yameshakaangiwa vitu, mfano chips nk sana sana kama uko Kibaha itakuwa vizuri zaidi. Lita nanunua kwa sh. 500.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom