Naombeni ushauri wenu wapendwa,
Mimi ni mama wa nyumbani nimepewa mkopo wa Tshs. 3mil nifanye biashara gani ambayo italipa fasta nirudishe hela ya watu, naombeni mawazo yenu ya kina.
Nilitamani...
Wana jf, mambo vp?. Jamani naomba msaada nataka kuwa wakala wa maxmalipo. Hapa nilipo jamii inahangaika namna ya kulipa huduma mbalimbali so nataka niwawekee huduma karibu.
Msaada wanauchumi. Pamoja na rasilimali nyingi nchini, pato la wastani Rwanda ambayo ni landlocked na isiyokuwa na utajiri mkubwa wa madini linazidi pato la wastani la mtanzania kwa $200 kwa...
Habari zenu Wadau,
Naomba ushirikiano wenu kwa alie teyari
Tuna Kampuni yetu ya Marketing yenye Directors 2 inayojihusisha na Advertising,Marketing na Promotions iliopo Sinza Kumekucha...
Inasikitisha, chini ya mikataba ya ki-mangungo, mgodi wa Buzwagi ulioko kahama ni mkubwa sana hapa Tanzania. Mgodi unazalisha dhahab na kila siku ya alhamisi ndege hubeba dhahabu kupeleka nje...
Its dream come true as Precision Air lists on DSE Michael Ngaleku Shirima, founder of Precision Air. Picture: Leonard Magomba
Michael Ngaleku Shirima will...
Habari wadau..
Nina mtaji wangu wa kama 2milion. Na nina idea ya kufanya biashara ya Duka la Dvds za movie za kibongo na za nje pamoja na Audio cds za music both kwaya na kawaida plus max malipo...
Gazeti la Pan-African linalipoti kuwa kwa sasa Afrika ina mabilionea wengi zaidi ya jinsi ilivyokuwa imeripotia. Kiasi cha 55 kati ya hao wana utajiri unaokisiwa kuwa zaidi ya dola bilioni 143...
Tafadhalini wakuu naomba yeyote mwenye utaalamu wa biashara hii Tanzania anipe mwongozo.nataka niijaribu kwa ujasiriamali.Kule shinyanga inatikana vp na nani ni wanunuzi wakubwa na inachukuliwa...
Nina wazo zuri tu la mradi. Lengo ni kuliuza kwa halmashauri za miji au majiji. Wao ndio wanaweza kulitekeleza vizuri kwa faida ya wananchi na wao wenyewe. Tatizo ni nikiwadokeza bila kujiwekea...
Wakuu nilibahatika kununua shamba ekari mbili bagamoyo eneo linaitwa Fukayosi, hali yangu ya kiuchumi imekuwa ngumu kidogo!!
Naomba ushauri kutoka kwenu ni jinsi gani naweza kutumia eneo hili...
WASANII wa Kenya, Rwanda, Uganda na Burundi waliofika kuzuru kaburi la aliyekuwa legendary wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba The Great, wameibua simanzi upya na kumsababisha mama wa...
Miaka 10 au zaidi nyuma, pale mtaani kwetu Fundikira, Magomeni Makuti jijini Dar es Salaam, ninapoishi alihamia jamaa mmoja akiitwa Kimaro akitokea Moshi, mkoani Kilimanjaro. Wakati anahamia...
Watanzania wenzangu tujifunze kuchukua fursa zilizopo.Mfano mzuri ni Patrick Ngowi the under 30 Tanzanian billionare.Aliona fursa juu ya renewable energy,ambayo hata united nations na mataifa...
"Huwezi kusema kufanya kazi kila siku watahitaji kuongezewa fedha, hapana kwani wanalipwa fedha nyingi. Nitaendelea kufanya mawasiliano nao kuona ni jinsi gani suala hili tunaweza kulimaliza."...
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi ktk uchumi wake kukuwa na kuwa nchi tajiri katika Afrika ,elezea tatizo kubwa linalotukabili tukawa hatuendelei?
Oct 12th 2013
A busy street in Dar es Salaam. The Kigamboni city project is expected to decongest Dar. Photo/FILE
By RAY NALUYAGA, The EastAfrican
Posted Saturday, October 12 2013 at...
The World Banks Board of Executive Directors today approved US$340 million for the Regional Rusumo Falls Hydroelectric Project which aims to benefit people in Tanzania, Burundi and Rwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.