Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau nina Kiwanja kama Hekari moja kipo Iringa mjini, na hakijapimwa. Kwa anayefahamu gharama ya kukipima na kukata hati. Mchango wako ni muhimu ndugu, na anayefahamu anijuze.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sana nimeona Kagasheki na mchungaji Msigwa wamekuwa mstari wa mbele kupiga vita ujangili wa Tembo unaofanywa sehemu mbalimbali za nchi wanasiasa na vigogo wengine wakihusishwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana tarehe 11 oct, Waziri wa Habari,vijana,Utamaduni na michezo Dr. Fenella Mukangara,alizindua ile filamu inaliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, Yaani Wekeza inalipa, iliyoigizwa na wasanii wakali...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kufuatia mgomo wa wenye malori kupinga tozo ya 5% na kauli ya Waziri wa Ujenzi, Dr. Magufuli kuwa wenye malori waondoe malori yao barabarani na kuyapaki majumbani mwao, Wamiliki hao wamemkaba koo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
nina milioni 7 asanteni wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nawashukuru wote mlionipigia simu kwa ajili ya kupata sabuni nzuri yenye povu, na wale mnaoishi Dar itawafikieni msiwe na wasiwasi. nipo kwenye mchakato. KARIBUNI SANA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fuel supply in upcountry cities, towns constrained Truck owners: 'No strike, only caring for our roads' Tanzania Truck Owners Association (Tatoa) official Elias Lukumay gestures when going...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wanajamii! Nimetumia mashine ya Datecs, kwa bahati mbaya nimeuza katika mashine zaidi sana ya kiwango halisi (Ni zaidi ya mauzo ninayoweza kufanya kwa mwezi). Nahitaji ufumbuzi katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Swala Energy Limited Foreign companies engaged in extraction and exploration of gas and oil in the country have been advised to form a joint venture with locals so that the latter may directly...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habarini wanajamii. Mi ni kijana ambaye nina wazo la kuanzisha Duka la Movie hapo baadae miez miwil ijayo.. Movie za Kibongo Na Nje. Nipo mahali pazur kuna wingi wa watu na kuhusu sehemu ya...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Naombeni msaada. Nataka kuingiza gari hii nchini Tanzania. Mpaka imefika hapa ni kama dola elfu 3 (3,000.00USD). Gari hii ni VOLVO S60. Ref No BF155208 Location NAGOYA Mileage 75,213 Model...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wana jamvi nahitaji msaada, Kuna mtu anataka kunitumia iPad kwa njia ya EMS je TRA watanikata kodi? Maana najua kwamba computer hazina kodi vipi kuhusu hili?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa viwanda na biashara Dr. Abdalah Kigoda amezindua kiwanda cha kutengeneza pikipiki za magurudumu matatu chini ya mamlaka ya uwekezaji wa ukanda maalum EPZA kinachotumia asilimia kubwa...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Wakuu, I need sellers of cotton seed urgently. Please advise on quantity,availability and where i can pick the goods.Email metasploitke@gmail.com Asanteni sana
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Habarini za asubuhi Nahitaji mkopo wa mil 1.5-2 wa masharti nafuu kabisa kwa ajili ya biashara, mkopo ambao naweza kuweka rehanii vitu vya ndani kama majokofu, tv, washing machine nk..nk... nina...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari njema kwa wakazi wa Mbezi, kimara, Kibamba, Kibaha. Usihangaike tena na foleni kwenda mjini kufanya shopping. Sasa nguo za kina mama na watoto zinapatikana Mbezi Louis kwenye duka letu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
The VIBE CLUB iliyopo jijini Mbeya eneo la Forest jirani kabisa na Chuo Kikuu cha Mzumbe-Tawi la Mbeya,Ni Club ya kisasa na ya aina yake eneo lote la nyanda za juu kusini Tanzania (Rukwa...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Hahabari wana jamiiforums wenzangu kwanza poleni na majukumu ya kila siku katka kulisukuma gurudumu la maendeleo! Tatzo langu ni kwamba nimepewa kaz as a manager katika Bar ambayo kiukweli cna...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heshima mbele wana JF Picha hii ni moja ya kazi zetu za hivi karibuni. Katika maisha tunasafari ndefu sana ya kufikia malengo yetu. Mara nyingi vijana wengi tumekuwa tukiangukia katika kundi...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Kama ulisha wahi kufikilia namna yakuandika Bussness plan basi ifuate link hapo chini, hakika itakusaidia coz kuna muundo wa busness plan inavyo takiwa kukaa alafu zuri zaidi unaelekezwa kabisa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom