Posted by Kurt Davis Jr on Oct 29, 2013 at 12:27 pm
Once known mainly for Mount Kilimanjaro and Zanzibar, Tanzania is seeing a change in balance between the number of tourists and investors...
Karafuu
MKUU wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Jabu Khamis Mbwana, amepiga marufuku wafanyabiashara binafsi kununua karafuu kwa njia ya rejareja majumbani.
Mbwana alisema hayo juzi baada ya kujitokeza...
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri...
Ninaomba kupata ushauri juu ya biashara ya transport pamoja na changamoto zake hasa kwenye upande wa operations.
Ninafikiria kufanya hii biashara na ningependa kufahamu wapi pa kuanzia yaani aiana...
Jana wakati naangalia vyomba vya habari ulinukuliwa ukisema kuwa wanunuzi wa nyumba mnazojenga waondolewe kodi ya VAT wakati wa ununuzi wa nyumba hizo hasa wale wanaonunua za bei chini ya shilingi...
wa wanaoitaji msaada wa usajili wa makampuni. Kwa wale wenye mahitaji na msaada wa kuandaliwa submission,affidavit na documents nyingine pamoja na msaada wa namna ya...
0
inShare
Dar es Salaam. Low-cost airline Fastjet recorded a whopping $13.3 million (Sh21.9 billion) loss from its Tanzania operations in the first half of...
Wakuu nimetoka kuonana na mkuu mmoja , PMU wa educational institute ya serikali. Nimekuwa nafuatilia tender kwake ya bima kwa muda sasa. Leo, nilipokutana naye akaniuliza kama mimi kama agent...
Modem zinazoingia mitandao yote zinapatikana hapa kwa bei yakufurahisha sanaaaaaaaa contact me 0779420000. bei 30,000/= ukitaka nyingi call tuongee speed ni 7.2Mbps
ukiwa unaenda kwenye vyumba vya kulala lazima upandishe ngazi moja. Sasa hapo katikati kumetokea ufa mkubwa kwenye ukuta ambao unashililia hizo sides 2, umeanzia chini mpaka juu. Ufa huo...
Wana jf, salam!
Naomba kujua matumizi ya noah kama biashara. Nina wazo kuitumia noah niliyo nayo kufanyia biashara isiyo rasmi mara moja moja. Niko mbeya mjini nimefikiri atleast kila weekend...
Wadau kuna rafiki yangu ameniuliza swali kuhusu kodi za kuingiza magari yaliyo tumika toka Japan. Sasa ananiambia ameona kanuni za kukokotolea kodi kwenye tovuti yao...
Hizi benki kama hawa amana bank wanaotoa mikopo bila riba nauliza pesa za kuendeshea ofisi wao wanatoa wapi? Maana faida ndio zinaendesha ofisi ninavyojua
Dar tops wealth list as Arusha ranked 7th
A section of Arusha City. Arusha Region, which is Tanzanias tourism hub, is seventh in contributing to the national economy, according to the Bank...
ISO 9001 was originally designed as a tool to help businesses worldwide improve the quality of their products and services and achieve higher customer satisfaction, all while improving the overall...
Nataka kujua msingi hadi kuezeka kuweka fremu za chuma, milango ya muhimu tu na kuweka choo cha kawaida. Nyumba iwe na sebule, jiko ma two bedrooms. Ukiacha na finishing zote. Naongelea ujenzi wa...
Wakazi wa Pwana na hasa wadau walio wekeza pembezoni mwa mto rufiji pamoja na mto ruvu. Naombeni msaada wenu, ni kijiji gani, kata gani nitaweza kuwekeza milioni 30 katika kilimo cha umwagiliagi...
jaman nna rafiki yang anataka kuanzisha biashara,yupo dodoma sabasaba..kwa wale wazoef na eneo hlo naomba tumsaidie ushauri..mtaji..ndo anataka aanze kwa hyo hana idea kubwa na biashara.
$430bn gas economy: Dar faces grave risks
$430bn gas economy: Dar faces grave risks
By George Njogopa
THE CITIZEN
Posted Wednesday, October 2 2013 at 00:00
In Summary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.