Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Eneo lina sqm 72000 (ekari 18),lipo katika kijiji cha Oyoyo,kandokando ya barabara ya Mkuranga-kisarawe.Shamba lipo jirani na shamba la Mama Salma Kikwete na linafaa kwa kiwanda,shule,yadi,kilimo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za kwenu Nina start up biashara, natafuta mtaji wa kuongezea wa 3 up to 5 mill au vifaa (machine za biashara) kutoka kwa taasisi au mtu yeyote ambaye anatoa mkopo kwa biashara zinazoanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi kwa anayejua ni benki ipi inayotoa mkopo kwa riba nafuu. Kwa anayefahamu please mnisaidie mi nimuajiriwa gvt
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu wadau wa Biashara ya Utalii, napenda kuchukua fursa hii kuweka bayana changamoto ya ki-biashara isiyo na ushindani wa haki inayotukabili katika biashara ya utalii hapa nchini kwetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba kwa anayejua Swift Code ya Stambic Bank,aiweke hapa tafadhali,natanguliza shukurani kuna maoja nimeona kwa mtandao sina hakika kama ndio inayotumika hadi sasa au la kwani kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I am looking for information to start a gold mining company eg 1. Cost of company registration and its requirements. 2.Cost of mining claims 3.Cost of environmental impact assessment...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
For serious and registered architecture with style and touch and should have office in Tanzania, email me your contact urgently , I need a one floor affordable villa design with four bedroom , one...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ukitaka kuanzisha gazeti nchini ni zipi taratibu zinazohitajika? 1.Gharama za uanzishaji kwa makadirio 2.Pia mtaji angalau inahitajika kiasi gani 3.je inawekana kuwa na gazeti linalotumia...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
GAIL India, on the other hand, is also keen on acquiring a stake in upstream assets in Tanzania, and is weighing merger and acquisition (M&A) opportunities in the country. ONGC Videsh Limited...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nachora ramani za majengo ya aina mbalimbali ikiwemo nyumba napatikana akiba dsm kwa mawasiliano 0714 155854
0 Reactions
0 Replies
3K Views
KUMBE ABIRIA TUKIAMUA TUNAWEZA! Nimefurahishwa leo mitaa ya Moshi KCMC ni baada ya konda m1 wa daladala kushndwa kupokea Tshs. 200 kutoka kwa Abiria mmoja mwanafunzi kisa ni J2 anadai alipe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
By PHILIP MWAKIO | The Standard | September 23, 2013 Uganda has invited its four East African Community ( EAC) partner states to buy stakes in the proposed Uganda oil refinery. A 40 per cent...
0 Reactions
2 Replies
838 Views
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA), imepiga marufuku matumizi ya chupa za plastiki (vidumu) kuhifadhi au kubebea mafuta jamii ya petroli, kwa kuwa zina uwezo mkubwa wa...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
wakuu humu jamvini naomba mnisaidie. mimi nipo Tanga na nataka ninunue bidhaa ebay. je nitaletewa kwa njia ya posta katika adress ninayoandika ya hapa tanga au mpaka dar? na je nitajuaje kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunauza samaki wazuri sn toka kanda ya ziwa,sato na sangara.Tunauza jumla na rejareja na bei zetu ni nzuri sana.Tupo kimara mwisho tunatazamana na stand ya magari ya kwenda mjini.Kuanzia kg 10...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hii ni used sema ipo poa na ina kila kita kuanzia caji,earphone,usb cable nicheki kwa namba 0716928197 ni nyeusi
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Wanasema siku zote katika biashara na ujasiriamali wanaofanikiwa ni wale wanaoweza kuyaona mabadiliko na kuweza kuchukua hatua za kubadilika kufuatana na hayo mabadiliko. Mfano mzuri ni kampuni ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hivi ni sahihi afande kova kutumia cheo chake kufanya tangazo la mpesa linaroruka radioni?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Cyanide inayotumika katika uchimbaji madini inauzwa sh ngapi?
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Get your free fax number linked to your e-mail address now Missing faxes, busy fax lines, no confidentiality and malfunctioning fax machines… Does this sound familiar? Yes…Then try our...
0 Reactions
6 Replies
981 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…