Hello JF Experts!
Naomba kujua aina za document za kimahesabu ambazo mfanyabiashara anatakiwa kuziandaa kwa ajili ya kuwakilisha TRA wakati wa kuendesha biashara zake? Nashukuru kwa kuwa mtanipa...
Germany has extended a grant of 176 million Euros (about 380bn/-) to Tanzania. The funds will cover three years and are the largest amount Germany has ever committed to support Tanzania in its...
To potential businessmen
I am looking for a business partner who will contribute for a Working capital on a very attractive agro-processing business located in Dar, everything in in place...
Kampuni inataka kuuza mali mbalimbali zikiwemo nyumba, samani, mitambo, magari, mashamba, etc. Ili kuuza inahitaji kupata Kampuni ya udalali yenye uzoefu katika shughuli hizi iliyopo jijini Dar es...
Wana jamvi binafsi kwanza nawakubali sana watu wa clouds media,jamaa wanajitahidi sana kwa ubunifu.
Sasa tunajua ni msimu wa tamasha kubwa la fiesta 2013 unaendelea,napenda idea yao ya kabla...
Miongoni mwetu wapo watu wenye mawazo mazuri ya biashara katika kutumia fursa mbali mbali zilizopo ili kukabiliana na changamoto mbalimbali. Africa innovation foundation wao wanatoa zawadi kwa...
habari zenu, naomba mnisaidie kwa gari hii ambayo wamenitumia details zake
CIF ni dola 4170.
details zake ni hizi hapa
Ref No: 19549A7N4
Year: Jun, 2005
Make: TOYOTA
Name: VITZ
Engine...
waungwana naombeni kujua ghalama za utoaji wa magari kwenye bandari ya daresalam.mfano noah inayouzwa $800 inagalimu shilingi ngapi mpaka niwe nayo nyumbani.natanguliza shukrani kwenu nyote
Kwa anayefahamu kuhusu gharama za kununua kifaranga wa kuku wa kisasa ktka jiji la dar na aina za madawa ambazo ni muhimu kwa ukuaji wa vifaranga hao na makadilio ya gharama ya madawa hayo please...
VIWANJA VINAPATIKANA KIGAMBONI ENEO LA AMANI GOMVU VYA SQUARE METER 1000,800,600 AT 10000/= @SQUARE METRE.
FOR ONE WHO IS INTERESTED JUST CALL
0717 038 035 Private Town planner
Ndugu wanajamvi, hii ni mara ya pili kunitokea.
Juzi nimeingiza vocha ya line ya Tigo ya Tsh 1000, nikajiunga na huduma ya EXTREME kwa kutuma ujumbe wenye neno EXTREME kwenda namba 15509. Huduma...
Wana JF. Natafuta msaada wa soko la Asali kwa soko la ndani vilevile soko la nje, Asali ni nyingi na ya kutosha kutoka Singida,Mkuranga na Ushirombo.
Kwa yeyote mwenye kumjua Mnunuzi wa Asali...
Ugandan newspaper commended Tanzania to learn being good neighbor, here we start.
I went through your project which you called "grand" and found that you have a lot to learn from Tanzania...
On sale Samsung galaxy s4's GTi9500 which are
Original
All accessories included
New phones
You dont have to daught about the products
cause we are sure of our products na utahakikisha kwa...
KWA MUJIBU WA FORBES MPAKA TAREHE 23 AUGUST LIST ILIKUWA KAMA IFUATAVYO
NAMBA 1: BILL GATES
Jamaa ameendelea kushikilia namba moja,nafasi ambayo aliipata mara ya kwanza tangu 1994. Na mwaka huu...
Tutachimba mafuta, lakini tuko tayari?
Kampuni ya Shell kutafiti na kuchimba mafuta Zanzibar. Je nchi iko tayari?
Na Ally Saleh. JUZI tulipata taarifa kuwa hatimae Rais wa Zanzibar Dk Ali...
Ni kontena 2 za tani 22.5 na 27 znazomilikiwa na wafanya biashra SADICK NASSOR na AMASHA FISH TRADERS.zlizopewa kibari na TFDA mnamo JULAI 2013 kuwa ni salama kwa matumizi ya binadamu zkitokea...
Maoni Binafsi:
Afrika tunakabiliawa na changamoto ya mapokeo ya Sera za Maendeleo kuzitungia Sheria bila hata kuzifanyia marekebisho walau kidogo au makubwa ili ziendanane na mazingira pamoja na...
wanajamii nisaidieni anaefahamu bei ya jumla ya cd za filamu za bongo,na wapi na weza kupata kwa bei nafuu kwa dar es salaam.Nahitaji pisi kama 300 hivi.kama unajua lolote kuhusu hii kitu ni pm please
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.