Ukiacha IPP MEDIA..
Niko curious kujua makampuni ya IPP ni yapi?
sababu naona karibu yote yamefilisika
au kuna mengine ambayo bado yana operate?
anyone with answers?
Nimeshangazwa sana na picha iliyopo katika gazeti la Mwananchi la ukurasa wa mbele yenye caption ifuatayo nanukuu "Mfanyakazi wa Ubungo Bonica (Botanical) Garden akiondoa Maji katika shimo la...
SALAAM
Tuna uwezo wa ku supply Extra Neutral Alcohol (ENA) zenye standard ya hali ya juu sana kutoka Asia kwa ajili ya kutumikakuzalisha bidhaa kama alcohol na bidhaa zingine za kwenye...
Ni hivi majuzi tu nilileta hapa jamvini mada ya kujadili kuhusu uhalali na busara ya serikali yetu tukufu kuipatia mabilioni ya bail-out kampuni ya usafiri wa anga ya Precision Air...
Nasikia ukifanikiwa kupata mgao wa miti mita za ujazo mia nne tu Shamba la Miti Sao Hill, unaweza kuuza mgao huo mpaka Tsh 15,000,000 kwa wafanyabiashara waliokosa migao. Kama wanaweza kununua kwa...
Jana katika kindi cha jahazi niliwasikia Kibonde and company wakizungumzia suala la NIC kuuza baadhi ya majengo yake ili kulipa madeni sugu ya kampuni hiyo. Hiyo habari ilikuwa kwenye gazeti la...
Kuna sqm 80000 (20 heka),maeneo ya Kiguza,kijiji cha Oyoyo.Linafaa kwa shule,chuo na kiwanda.Lipo barabarani (Mkuranga-Kisarawe Road),umeme tayari umefika kijijini.Lipo jirani na shamba la MAMA...
Nilikuwa na mawazo ya kuanzisha biashara yangu niache mambo ya kutegemea mishahara manyanyaso....nimewaza mambo manne
1. Kufungua frame ya kuuza vinywaji vya jumla- mwenye uzoefu na hili naomba...
Salama wana jamvi...Kwa walio Dar zaidi watajkua wamesikia juu ya maonesho ya biashara ya watu wa China. Binafsi nimepata muda nikapita kuangalia angalia, kweli kuna vitu vingi sana vizuri kwa...
Habari zenu wana jamvi hasa wajasiriamali wenzangu. Mimi nafanya biashara ya vipodozi pamoja na saloon ya kike lakini kadiri siku zinavyoenda sioni maendeleo na duka lipo sehemu nzuri ya biashara...
Habarini wakuu ningependa kuuliza juu ya mashine bora ya kukamulia mafuta ua alizeti,
Ningependa kujua yafuatayo,
Aina zake,
Bei zake,
Na zinapoweza patikana mashine hzo
THE Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) reiterated that it will award licences to prospect for oil and natural gas in deep sea blocks and Lake Tanganyika offshore block in May...
We are able to learn from everyone, even from the behaviour of a dog.
1. Be loyal (but not to a fault).
In business, loyalty can be a huge asset. Ive learned that surrounding yourself with a...
M-PESA imeanza kupoteza mwelekeo na kukosa uaminifu. Nimehamisha fedha kutoka akaunti yangu ya M-PESA kwenda Akaunti ya Benki. Kilichotokea ni kuwa fedha imekatwa M-PESA lakini haijafika kwenye...
Ndugu wana jf!
Taarifa kutoka wizara ya Nishati na Madini zinasema, Reginald Mengi mwenyekiti wa makampuni ya IPP aliomba, akamilikishwa vitalu 59 vya madini vyenye mita za mraba 3754.37, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.