habari wadau,naombeni msaada kama kuna uwezekano wa kupata solar charger ya mini samsung laptop na bei yako,lakini option ya pili ni kuhusu solar power system yenye uwezo wa kuchaji laptop,simu na...
Sugar
Domestic firms operating in the sugar industry are said to be on the verge bankruptcy generally speaking that is, if the importation of cheaper sugar is not checked and so Tanganyika...
Hatimaye Tanzania imepunguza ushuru unaotozwa magari ya rwanda yaingiapo nchini. Waziri akiri bila kushusha kiwango Tz ingepata hasara kubwa ukizangatia magari mengi ya tz yanaingia Rwanda kuliko...
Resource-rich Qatar should establish an international infrastructure investment bank with a balance sheet capacity of $300bn in view of $50tn funding required for the sector globally, according to...
Taharuki imeibuka katika mpaka wa Tanzania na Rwanda wakati madereva wa malori kutoka nchini wakihaha kuvuka kuingia Rwanda kabla ya kuanza kutumika kwa ushuru mpya wa barabara ambao unaanza...
Cha kushangaza,,,
Idadi ya abiria imeongezeka kwa asilimia 9.5
Total revenue nayo imeongezeka kwa asilimia 8.2
Mwaka 2011 kampuni hii ilitangaza faida
My Take:
Ukiangalia tangazo lao kuwa...
Nimepitia mambo mengi katika umri wangu mdogo ila kitu ninachoshindwa kukiacha maishani ni kuhusiana na ndoto yangu ya kuwa Tajiri namba moja duniani ingawaje ni mtanzania mwenye kipato cha...
Chadema Secretary General, Dr Wilbroad Slaa has called for the review of the Public Private Partnership (PPP) Act, calling on active private investors to plan and organize innovative programme...
Kadiri Nchi yetu inavyoendelea kufanya Biashara za kimataifa naonmba mwenye ufahamu anisaidie kunieleza ni wapi naweza kupata Orodha ya makampuni yanayo Import na ku Export bidhaa mbali mbali...
Kwanza, shukrani kwa wale wote ambao huwa wanatumia jukwaa hili kutuelimisha sote kuhusu masuala haya ya uchumi. Bila shaka kwa kufanya hivyo JamiiForum imekuwa njia ya wengi wetu kupata...
Does anyone know whether this company is still involved in bus/coach building business and what are their rates?
Co Website is pretty basic: Welcome to Quality Group :: QML
Thanks
Marafiki,
Tafadhali tusaidiane contact details za makampuni wanayotengeza mabasi (coach/bus body builders) na bei zao/ushauri. Nataka kulinganisha ipi nafuu kati ya kununua injini na kujengea bus...
Cjui kama ni kweli au ....nimeitoa huko kwenye mitandao....
Top 10 ya matajiri bongo
1.saidi bakhresa-trilion 1
2.Gulam Dewji-billion 900
3.Rostam Aziz-billion 672
4.Reginald Mengi-billion 450...
Wakenya bana kwa majigambo, hii article ya business daily imeniacha hoi!
Eti PW ni subsidiary ya KQ. Nadhani huu ni uongo na upotoshaji.
soma:
Kenya Airways Tanzanian subsidiary Precision Air...
Habari wana Forum
katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Akiba saccoss, wanajieleza kuwa wanatoa mikopo ya haraka...sasa wana Forum ebu ingieni link hii chini muwasome na mniambie hii...
Kama unahtaji Mwl wa ENGLISH COURSE na Tuition kwako kwa mfanyakazi wako ndugu na kwa watoto wako nyumbani au kazini kwako inawezekana kabisa kama unaish Dar/karibu na Dar na kwa bei rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.