asalam aleykum,taarifa ya kufunguliwa kwa saccos ya kiislam mjini songea.nia kubwa ya saccos hii ya kutayba,nikutoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kiislamu.mikopo ambayo haita kuwa na riba.kwawale...
Wandugu,
Nimekuwa nikikomboa mizigo toka nje kupitia kwa Clearing Agent wangu.
Jinsi ilivyo, agent anapewa jukumu kisheria kushughulikia hiyo process kwa niaba ya mteja.
Kwahiyo basi, TRA wana...
Ebwana me nawapa Big up sana CRDB kwa huduma yao mpya ya SIMBanking kwani ni ya ukweli kinoma. Haina mambo ya kujiunga kwa fomu na makaratasi kibao coz kitu ni hewani tu, unatwanga *150*03#, kitu...
Great thinkers ukiangalia ndani ya mwezi huu hisa ya crdb likua inauzwa mpaka 320 lakin imeporomoka mpaka kufika 260. Je hii inaashiria nini na imesababishwa na nini?
Wakuu nimeagiza zana fulani hivi za kijasiriamali toka nje ya nchi. Mzigo umeishaingia bandarini siku nyingi (hii wiki ya 2 sasa) ila sijafanikiwa kuutoa kwasababu ya vikwazo ninavyokumbana navyo...
Friday, August 30, 2013
The largest European oil producer, Royal Dutch Shell plc ("Shell") and the Revolutionary Government of Zanzibar have signed a Memorandum of Understanding (MoU) on...
Kampuni ya Fast Jet inategemea kuanza kuruka kutoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya kuanzia mwezi Novemba tarehe moja.
Hii ina maanisha kuwa, Precision Air watakuwa kwenye kipindi kigumu zaidi kwani...
Wadau, habari zenu?
Ni bank gani hapa Tz inaweza kumkopesha mtu kupitia salary yake ambayo inapitia bank nyingine ambako mtu ana mkopo?
Mfano:
Salary inapitia bank A
Net salary ni 8M
Loan...
Baada ya pitapita zangu katika mitandao ya wauza magari nimeambulia kuipenda hii gari
Registration Year / Month1998/07Odometer111,120 kmDisplacement1,500...
Hivi TRA wanawezaje kukadiria kodi kulingana na biashara yako?
Utajuaje kam wanakuumiza sana au la?
Na kama ni start-up, wataanzaje kunikata kodi na huku mapato yangu siyajui?
Am waiting for...
nimeanza kufuga kwa mara ya kwanza kuku wa kienyeji! kwa kuanza nimenunua kuku 9 kati ya hao jogoo ni moja ambaye namwona bado ndama . nina siku ya tatu tangia nianze na leo nimeamka nimeona kuku...
Na Eliphace Marwa - MAELEZO
SERIKALI kupitia Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA) iko katika mpango wa kuchimba visima virefu 300 vya maji katika mwaka wa fedha wa...
A PROMINENT international business and finance magazine, Euromoney has named the National Microfinance Bank PLC (NMB) "the Best Bank in Tanzania for 2013." A statement issued in Dar es Salaam...
Nimetapeliwa na hii kampuni kirahisi sana.Eti wanatoa mkopo ndani ya dak 45 jamani! Mbaya zaid watu wengi wanatapeliwa,huku na kurudishana nyuma,kampuni hii idhibitiwe mapema
Mi ni kijana umri miaka 23 nina aidia ya kufungua duka la vyakula rejareja maeneo ya Kigambon ila sina uzoefu na biashara na nikiazio kipi cha mkwanja wa kuazia hadi sasa nina 60,0000.
NAOMBA...
Ndugu wadau na wanajamvi. Hii imekaaje? Sheria ya fedha ya mwaka 2013 ina kipengele cha Excise Duty. Baadhi yetu tumetaarifiwa kuwa kuanzia sasa benki zitakuwa zinakusanya 0.15% kama Excise duty...
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa
Tanzania imepokea msaada wa Sh. bilioni 101 kwa ajili ya kuboresha miradi ya msingi katika mpango wa Millenia wa kukuza na kupunguza umaskini (Mkukuta)...
wakuu natumia htc hd7 ni window phone ila toka juzi jumamosi inanisumbua inazima na nikiwasha haiwaki yote mean inaishia tu kwenye htc halafu haiwaki yote.nikajua labda imezidiwa na mzigo maake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.