Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

According to jaji bomani kampuni kubwa ya madini ya barrick gold inadai aijawai pata faida toka ianze kufanya shughuri za kuchimba madini apa Tanzania na ivyo aijawai kulipa corporate...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Kwa wale wazoefu, naomba msaada wa kujua yafuatayo ili kunisaidia katika nikusudiayo kuyatekeleza. 1. Ni benki gani nzuri Tanzania kwa huduma za kampuni binafsi, kwa huduma za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maoni Binafsi: Wengi hawajui kinachowasubiri mbeleni. Wangejua leo, Dar ingekuwa makazi rasmi na ngome ya upinzani. Sijui kama ni vema kuwaacha waendelee kutojua mpaka pale watakapojua kwa ghalama...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wapenzi Naomba kusaidiwa juu ya hii kampuni ambayo imetangazwa leo mchana na kua inahusika na mikopo isiyo kua na riba. SOCIAL CREDIT COMPANY
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Saruji kutoka nje inadaiwa kusababisha Serikali kupoteza mapato ya Sh25 bilioni kwa mwezi. Dar es Salaam. Kampuni ya Uzalishaji Saruji Tanzania Portland Cement...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa jaman,nimenunua gari namibia milion kama 7 za kitanzania sasa nataka kujua ntakapokua naliingiza nchini kwangu ntalazimika kulilipia? Ama utaratibu ukoje? Ni gari aina ya benz ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Heshima mbele. Hivi karibuni nimehamishia makazi Rufiji na kujipatia shamba maeneo ya utete. Je kuna mwanaJF hapa ambae ameshakuwa na experience ya ulimaji huko? ambaye tunaweza share...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wapendwa wana JE SACCOS, Naendelea na mchakato wa kulipa fedha za michango ya wana JE SACCOS. Tafadhali kama wewe ni mmoja wao uliyetoa michango kupitia kwangu tafadhali naomba jitokeze niweze...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nimekwama baadhi ya mambo fulani hivi,sasa natafuta mkopo wa shillings 15,000,000 million na ntarudisha shillings 18,000,000 ndani ya miezi sita tuu. Dhamana ni nyumba iko Morogoro...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajf naomba kufahamu kodi zipi zinaihusu private co. Ltd kwa hapa bongo kule tra ukiacha ya monthly vat return hiyo nshaidaka kidogo. Naomba kueleimishwa zingine zilizopo na source...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu, Jana nikiwa naangalia CNN, I saw an advert of Kenya (kuna sehemu wanaonyesha Mt. Kili); na nakumbuka kuona matangazo za nchi tofauti katika mega media channels of the world...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari toka Kariakoo zikitujuza Uvamizi wa gafla uliofanywa kwa kushirikisha Polisi na Raia wa Kizungu waliopita kwenye maduka na kuchukua simu zote za aina ya Samsung za kichina...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Bank yenu ya gari mobile 10 inayofanya kazi mkoa wa Tabora wilaya ya Sikonge na Ulambo tunaibiwa pesa zetu kila leo na hatuzipati na hamna maelezo Jana jamaa yangu kadroo laki2 ila hazikutoka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naamini wachumi na wahasibu mtanishauri maana ndo mna ujuzi.mi nimemalza form 6 ECA na kugpata econ c,acount c ,comm d,bam s.mi napenda sana kuwa economist pia accountant,lakn inabidi nchague...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Thanks for your co-orparation this offer is closed
2 Reactions
12 Replies
2K Views
mtaji wa kufuga fish unatakiwa uwe na kiasigani na zina kaaa mda. gani kabla ya kukamta mshiko
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu habari za asubuhi Mimi ni mfanya biashara nko mkoani nafanya biashara ya viatu nauza kwa jumla na rejareja nilitaka nipanue bishara yabgu iwe ya jula tu kwa ss nilifikilia kwenda china...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
wakuu naomben mnisaidie chuo gani wanatoa course fupi za biashara km vile sales, marketing system , how to raise capital......... nahitaj kujua zinagharim sh ngap kwa course ya mwezi mmoja mpk...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi JF Members! Naomba mwongozo wa namna ya kuanzisha na kusajili Gazeti ikiwa ni pamoja na gharama zake. Tayari nina business idea na napenda kufahamu utaratibu unaotumika hapa Tz. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo. Ni wapi? Ni jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Back
Top Bottom