Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mambozz Kuna kifaa cha masonara hukitimia kuyeyushia dhahabu na madini mengine. Kifaa kama hicho inauzwa wapi na kwa bei gani? Kwa wenye uelewa wa usonara mnakaribishwa
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu mambo vipi, nasikia siku hizi kuna waheshimiwa fulani wanakuunganishia kazi kiulaini lakini mwisho wa mwezi unapopokea mshahara wako unampatia commission yake mliyopatana, wakuu naomba kwa...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Wanajamvi, Kuna kampuni ya kitapeli iitwayo BUTAHE SECURITY COMPANY LTD.Hii kampuni inasemekana mwanzo ilikuwa na malindo UNHCR,GTZ,W.VISION,IRC na taasisi nyingine za kushughulikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
[QUOTE]Wapo watu wasiopenda kusoma wanaokosoa usomaji wa vitabu hivi. Hoja yao kubwa ni eti pesa hazipo vitabuni na kwamba vitabu hivi ni kujiburudisha nafsi tu na hakuna lolote. Nikiri kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SAlama wana JF? kwa wale waliofatilia jana taarifa ya habari, Tz imemteua raia na mfanyabiashara mkubwa wa Singapore kua Honorary ambassador wetu nchini humo, naomba kukumbushwa jina lake tafadhari.
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Hivi inawezekanaje hasa hadi majirani zetu watuchezee namna hii? A Kenyan tea, halafu inaitwa Tanzania, pamoja na ramani ya Tanzania na twiga ambaye ni alama ya Tanzania? Hivi kweli hawa wenzetu...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Binafsi nilikua naomba kujua bei za madini ya copper ore na moonlight stone kwa tonne (per tonne) kwenye soko la dunia. Kama kuna anayeweza nipatia links/website za information...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wadau wa JF, natumaini mko vyema kiafya na mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha. Naombeni msaada wa mawazo hasa katika biashara hii ya madini, niko mkoani morogoro na nina Tsh 3,000,000...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dear Members, I've seen lot of folks here with enough money but still finding for new ventures to invest, they ask you "what can I do with these $1200?". At the sametime, I've seen...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Ningependa kufahamishwa ni wapi naweza pata maturubai ya ukubwa wa mita 5X4, yale yenye rangi ya blue na nyeupe na ni shilingi ngani
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Wadau naombeni msaada kwa wale wenye ujuzi na mambo ya kodi za kuingiza magari nchini hasa magari yaliyozidi miaka 10 toka yatengenezwe kwa maana ya kuanzia 2002 kurudi nyuma!hasa nilikua napenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ThePaidTask.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mamlaka, kanuni zinaua sekta ya maziwa nchini Wafanyakazi wa kiwanda cha maziwa wakiwajibika kazini Malalamiko yao yanatokana na ukweli kuwa ili mtu asajili biashara yake anatakiwa kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Tafadhali naomba msaada wenu. Ningependa kujua ni iwapo madaktari wanapewa vitu vifuatavyo, 1.Mikopo yenye masharti nafuu 2.Msamaha wa kodi bandarini 3.House allowances...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
It's 1:15 pm on a blistering hot Wednesday afternoon in Dar Es Salaam. Patrick Ngowi is seated in the lobby of the Hyatt Regency Hotel, patiently waiting for me to keep up with our lunch...
17 Reactions
52 Replies
8K Views
Wakuu, Nina shamba la ekari 200 lenye hati miliki huko wilaya ya Mkinga Tanga. Nahitaji kulilima shamba lote ila nahitaji mkopo kwa kutumia hati yake wa shilingi milioni 50. Ninachotaka mnisaidie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambozz kwa wenye utalamu wa ujenzi, nyumba kama hii naweza jenga kwa shilingi ngapi? Kiwanja ninacho kibaha na nataka niijenge kwa kutumia vifaa vya bei ya chini kama mabati yale ya rangi, sio...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
jamani naomba kujua ni documents zipi unatakiwa upate na lini zitakufikia ukiwa umeagiza gari nje....naomba msaada kwani kuna meli inaingia 15 aug ina gari yangu toka japan.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Snapshot: 1. Overall balance of payments surplus increased by 114.78% 2. Inflation declines up to 7.6% from 17.4% recorded last financial year 3. Imports declined 4. Exports increased and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna gari nimevutiwa nayo, na katika kucheki mitandaoni nimewapata jamaa wa REAL MOTOR JAPAN. Sema kutokana na budget kutotosha nataka ni-risk kwa kukwepa "paytrade" charges, Kuna mdau...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Back
Top Bottom