Raia wa Bulgaria akiwa chini ya Ulinzi baada ya kupata kichapo kwa kudaiwa kuiba fedha kwenye mashine ya kutolea fedha (ATM) ya BOA tawi la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam jana. Picha na Juliana...
Wanajamvi habari zenu.? Kuna kampuni ya vinywaji baridi ipo kariakoo nahitajo niwe wakala wao huko mbeya.Sasa nimekwama kwenye njia ya kusambaza hivyo vinywaji kwa wateja. Je nisambaze mimi...
Habari wakuu! Kwa waliosherekea sikukuu ya Eid - Eid Mubarak.
Mimi ni kijana mzaliwa wa Iringa mjini! Nimehangaika na ajira jijini dar kwa miaka mingi! Nimekusanya saving zangu za TSH 30million...
Makampuni ya simu huwa na kawaida ya kukodi ardhi kujenga minara kutokana na survey zao. Upangaji huu ungekuwa fursa nzuri kuongeza kipato kwa baadhi ya wazee maskini ambao ardhi yao imeonekana...
Ni proffessor, Dr, au msomi yupi wa kiTanzania, ambaye .....
1. Ana Patent ya ugunduzi wowote ule, uwe wa kisayansi, au nyanja nyingine yeyote. Tafadhali taja na aina ya ugunduzi.
2.Ameweze ku...
Are you looking for a second stream of income or an additional job? Maybe you are ready to work smart and not hard. Home Based business can be successful and very rewarding opportunity for you...
Hi,
We are currently writing a resolution of board of directors to open bank account with CRDB Bank PLC for some Limited Company. I have encountered through googling the link (below) containing...
Habari wajameeni,naomba msaada. Natafuta aina ya vitunguu vinavyoitwa kwa jina la kitaalamu, Jambar f1 hybride .Nataka kujua upatikanaje wa mbegu zake upo vipi hapo bongo,yaani zinapatikana wapi...
Kwenye taarifa ya habari Channel ten leo wametangaza kuwa leo Tigo wamewatangaza washindi 7 ya shinda bajaj ila cha kushangaza ni kwamba washindi wote ni kutoka DSM.Hivi ni kweli Tigo ina wateja...
Wakuu habari za usiku.
Wadau najua kunawataalam wa kilimo hapa.
Ni hivi mwaka jana nililima mahindi kidogo niliweka mbolea zilizo chakachuliwa na baada ya kuweka nilishangaa kuona mahindi hata...
Wadau,
Nawasalim...
Kutokana na mjadala mrefu unaoondelea kwa siku kadhaa kwenye jukwaa hili, kuhusu apartments kutokuhitajika mikoani, nimeona niweke chapisho hili la utofauti kati ya sales na...
samahani wadau, mimi nahitaji kufanya biashara za e_money kijijini kwetu manake wananchi wanapata shida huku. Nauliza leseni ya biashara huwa inakatwa baada ya kuanzisha biashara au kabla? Na...
Katika gazeti la Raia Mwema la tarehe 31/7/2013 kuna makala ya aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania huko Uingereza na marekani kuhusu gesi iliyovumbuliwa nchini. Anatoa mawazo mazuri ya jinsi ya...
Habarini ndugu zanguni.
Ninatafuta kampuni/taasisi inayotoa mikopo. Mm ni mfanyakazi wa taasisi binafsi. Nilicho nacho mkononi kama dhamana ni magari mawili. Nilishauriwa kwenda NMB lakini...
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ametoa siku 90 kwa matrekta yote yanayoingia Bandari ya Dar es Salaam kubeba makontena kuacha mara moja...
Ndugu wana JamiiForums,
Naomba kuwaalika wale wenye hisa katika makampuni ambayo hisa zake zinauzwa katika soko la Dar es Salaam (DSE) kushiriki katika utafiti wangu wa Uzamivu (PhD) kuhusu...
Salama wana JF. Ninahitaji kufuatilia jambo kwa kampuni inayo shughulika migodini kahama inaitwa Kasko, tafadhari mwenye mawasiliano ya aina yoyote kwa kampuni hii niasaidie. Natanguliza shukurani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.