Wakuu naombeni kufahamu utaratibu wa kuanzisha biashara ya Bureau DeChange, na ni vitu gani vinavyotakiwa na serikali kwa ajili ya usajili wa biashara hii.
Imeandikwa na Asha Bani, TanzaniaDaima -- NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amesema badala ya kuwatoza wananchi kwenye laini za simu serikali ihamishie kodi...
Sure, naomba wenye uzoefu wa biashara hii anipe lolote analojua juu ya umiliki wa driving school, inalipa? approaches zake, material requirements? Legal requirements? Trafic police requirements...
Habari wana JF,
Jamani kama kuna mwenye kujua mahali wanapouza mbwa tafadhali anijuze.....
Nahitaji mmoja tu wa ulinzi wa nyumbani...
Natanguliza shukrani za dhati!!
Lieutenant Colonel, Juma Sipe
The National Service is planning on establishing training camps in every region of Tanzania Mainland to accommodate all youths volunteering to join its trainings...
Jamani hivi inawezekana kweli kodi ya kiwanja chenye ukubwa wa acre moja ikapande kutoka 90500 mpaka 340,000 tshs? Hivi kwanza kodi za viwanja zimepanda lini? Tafadhali mwenye kujua hili naomba...
HANDENI DISTRICT - TANZANIA
The Property
The Handeni property is located in the Tanga region of northeastern Tanzania, 160 kilometres northwest of Dar es Salaam and and 110 kilometers...
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma limeiomba serikali ichukue hatua za sheria kwa kampuni ya Mohamed Enterprises tawi la Songea kwa kile lililochodai kuwauzia...
Wakati mvutano kati ya Serikali na wadau mbalimbali kuhusu pendekezo la kufutwa kwa tozo ya kodi ya laini za simu ‘Simcard tax' ya Sh1,000 ukiwa haujapoa, Chama cha Wenye Mabenki nchini...
Duh, kumbe inawezekana hivi vitu used kwetu tanzania huwa ni mauchafu kutoka huku? nimeshangaa sana aisee kwenda jalalani na kukuta hizi bidhaa ambazo kwetu ndio tunaona ni bora kuliko za mchina...
habari ndugu wana jamvi!
Naomba mnijulishe ni kampuni gani inaweza kunisafirishia ka computer kutoka poland kuja tz na kwa bei gani? Tafadhari nipo gizani. ka pc kenyewe kakupewa msaada tafadhar
Dangote cement plant excites marketIN SUMMARY
The projected capacity of the factory, to be built in Mtwara, southern Tanzania, is expected to be three million metric tonnes per annum, and...
wakuu naomba kujulishwa hii tozo ya sh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account imekaaje mbona mimi siilewi kabisa licha ya liba kubwa wanazochukua licha ya kufanyia biashara fedha zetu bado...
Is a stock and Sales control System developed by CREATIVE LAB (T) LTD . Among others it can provide the following
1.Stock Control
2.Sales Control
3.Customer Accounts
4.Creditor Accounts
5.Debtors...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.