Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu naombeni kufahamu utaratibu wa kuanzisha biashara ya Bureau DeChange, na ni vitu gani vinavyotakiwa na serikali kwa ajili ya usajili wa biashara hii.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Imeandikwa na Asha Bani, TanzaniaDaima -- NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amesema badala ya kuwatoza wananchi kwenye laini za simu serikali ihamishie kodi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Sure, naomba wenye uzoefu wa biashara hii anipe lolote analojua juu ya umiliki wa driving school, inalipa? approaches zake, material requirements? Legal requirements? Trafic police requirements...
0 Reactions
0 Replies
35K Views
Habari wana JF, Jamani kama kuna mwenye kujua mahali wanapouza mbwa tafadhali anijuze..... Nahitaji mmoja tu wa ulinzi wa nyumbani... Natanguliza shukrani za dhati!!
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Lieutenant Colonel, Juma Sipe The National Service is planning on establishing training camps in every region of Tanzania Mainland to accommodate all youths volunteering to join its trainings...
1 Reactions
0 Replies
901 Views
Jamani hivi inawezekana kweli kodi ya kiwanja chenye ukubwa wa acre moja ikapande kutoka 90500 mpaka 340,000 tshs? Hivi kwanza kodi za viwanja zimepanda lini? Tafadhali mwenye kujua hili naomba...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
HANDENI DISTRICT - TANZANIA The Property The Handeni property is located in the Tanga region of northeastern Tanzania, 160 kilometres northwest of Dar es Salaam and and 110 kilometers...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Naomba kujuzwa bei ya jumla ya karanga katika masoko makuu ya nafaka hapa nchini
0 Reactions
2 Replies
4K Views
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma limeiomba serikali ichukue hatua za sheria kwa kampuni ya Mohamed Enterprises tawi la Songea kwa kile lililochodai kuwauzia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati mvutano kati ya Serikali na wadau mbalimbali kuhusu pendekezo la kufutwa kwa tozo ya kodi ya laini za simu ‘Simcard tax' ya Sh1,000 ukiwa haujapoa, Chama cha Wenye Mabenki nchini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Duh, kumbe inawezekana hivi vitu used kwetu tanzania huwa ni mauchafu kutoka huku? nimeshangaa sana aisee kwenda jalalani na kukuta hizi bidhaa ambazo kwetu ndio tunaona ni bora kuliko za mchina...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
habari ndugu wana jamvi! Naomba mnijulishe ni kampuni gani inaweza kunisafirishia ka computer kutoka poland kuja tz na kwa bei gani? Tafadhari nipo gizani. ka pc kenyewe kakupewa msaada tafadhar
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Dangote cement plant excites marketIN SUMMARY The projected capacity of the factory, to be built in Mtwara, southern Tanzania, is expected to be three million metric tonnes per annum, and...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu naomba kujulishwa hii tozo ya sh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account imekaaje mbona mimi siilewi kabisa licha ya liba kubwa wanazochukua licha ya kufanyia biashara fedha zetu bado...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Is a stock and Sales control System developed by CREATIVE LAB (T) LTD . Among others it can provide the following 1.Stock Control 2.Sales Control 3.Customer Accounts 4.Creditor Accounts 5.Debtors...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Dallas Cowboys vs Miami Dolphins Live NFL Football 2013 Hall of Fame Game On HD
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Miami Dolphins vs Dallas Cowboys Live NFL Football 2013 Hall of Fame Game On HD
0 Reactions
1 Replies
625 Views
Cowboys vs Dolphins Live NFL Football 2013 Hall of Fame Game On HD
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Dolphins vs Cowboys Live NFL Football 2013 Hall of Fame Game On HD
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Get Live NFL Football Tv Link Here Get Live NFL Football Tv Link Here Get Live NFL Football Tv Link Here
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…