Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Huduma hii ni nzuri na ya uhakika karibu ujipatie hii mawasiliano ni Legacy impresion Company .:LEGACY TANZANIA:. Legacy Impresion facebook page: legacy impresion company Email...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amini usiamini walichokifanya NSSF kitalaaniwa na wengi na sasa ndio tunazidi kuona uozo na uliopo nchini Tanzania.Mtakumbuka mpiganaji wetu Dr.Maseru alivyokuwa mpiganaji akaacha kukaa na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
RAIS KIKWETE AINGILIA KATI KODI ZA LINE.....AMEZITAKA MAMLAKA HUSIKA ZIKUTANE HARAKA ILI TATIZO LIISHE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameagiza...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Maisha yanazidi kuwa magumu jamani sijui walalahoi tukimbilie wapi. Kodi kila mahali. Vitu kupanda bei je haya ni maisha bora ua bora maisha wakuu mimi kodi ikianza mkinikosa kwenye line yangu...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Wanajf nilipokua nasoma A level nilifundishwa maswala ya kodi walau kwa kiasi kidogo. Kuna principle of a good tax systemkama ifuatavyo According to Adam Smith, Good Taxation System based upon...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wanajamvi, nina maswali kadhaa kuhusiana na power tillers 1. Je kuna aina ngapi angalau za power tillers? 2.Kwa DAR zinapatikana maduka gani na bei yake ikoje 4.Je ni durable power tillers...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakubwa, Katika harakati za kutafuta gari ktk mitandao mbalimbali nimekutana na gari aina ya harrier kwenye mtandao wa beforward.jp(details zake ntaziweka hapa chini).Nilikua naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By THE CITIZEN | Wednesday, July 10 2013 at 10:54 When Mr Gulam Dewji, a Tanzanian businessman called his son Mohammed to come back to Africa and join a family business about 14 years ago...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Ikulu ya Kikwete, Waziri mkuu, Waziri wa Fedha ni mkinzano mtu
2 Reactions
51 Replies
4K Views
In a bid to increase earnings, Vodacom has agreed to sell 1,149 phone towers in Tanzania to an infrastructure company backed by investors including George Soros The wireless carrier, South...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndugu wanaforum! Salam, Ninaishi Arusha...Nimepata mtaji ( 5 m).. katika kuwaza biashara ya kufanya ili nami nitoke kimaisha nimeona nijaribu hii ya kuchukua zabibu kutoka Dodoma na kuziuza...
1 Reactions
9 Replies
40K Views
Wakuu habari, nawaombeeni ushauri kati ya kubadilisha injin ya gari na kufanya overall ipi bora,maana kuna fundi alinishauri nifanye overall na mwingine akashauri ni bora kubadilisha injin ndo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuumiza kichwa kufikiri ni biashara gani nitakayoianzisha ikifuatiwa na kufanya utafiti, nimepata sehem flani ambayo inafaa sana kwa biashara hii hivyo nina mpango wa kumiliki hizo tents...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Wadau nina ndoto ya siku za hivi karibuni kufungua cyber cafe(internet cafe),malengo yangu ni kuanza na compyuta tano. Ningependa kujua ili kuanziasha cafe hiyo ninahitajika kuwa na vitu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Karibu Legacy Impresion Company upate huduma ya Branding kwa bei Nafuu msimu huu wa sabasaba kwa punguzo la bei - Branding ni elimu itolewayo kwa mtu, kampuni au taasisi kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amani kwenu wadau... Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za kila siku. naomba msaada kwa yeyote anayefaham sehemu ninayoweza kupata vifaa vya studio ya picha (kama photo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jipatie huduma zifuatazo katika entreprises tajwa. 1.Ramani za nyumba ktk usanifu wowote 2.kusimamia ujenz wa nyumba na civil works 3.ukokotozi wa gharama za ujenz wa nyumba na civil works...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
wakuu mi npo dar maeneo ya mbezi beach,nna hela ya ziada mil 10 nmeona niangalie fursa tofauti tofauti,nimeona biashara ya bajaji ndo rahisi kwani haitaharibu mda wa chuo masomoni.wakuu hi...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Habari zenu!! Naomba kufahamishwa bei ya Cat 424 backhoe loader au similar to this na John deere 5500 (55hp) ikiwa used na pia mpya. Nazihitaji kwa ajili ya kilimo. Asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu badala ya kujadili nani kashinda na kushindwa kaytika chaguzi ndogo za UDIWANI na Nani karusha bomu uchumi wetu na shillingi yetu vinazidi kuporomoka. Leo shilling ya Tanzania imedilishwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…