Kiu yangu kubwa ya kujiunga na hii bank ilikuwa ni kupata mkopo, yapata zaidi ya miezi sita sasa toka wamesitisha huduma yao ya mikopo, service fees yao ya kila mwezi ni kubwa ile mbaya, kila...
Greystone Holdings is the managing company for its various subsidiaries which are involved in land development activities. The company has planned projects for over 1200 Affordable houses...
Kwanza kabisa salaam wakuu...
...pili,niko hapa kuwafahamisha kuhusu biashara tajwa hapo juu kwa atakayehitaji.
Biashara hii inapatikana kwa wingi..............kiwango cha juu ni tani 25,000...
Dodoma. Changamoto zinazowakabili wakopaji wadogo katika taasisi za fedha nchini, ni riba kubwa inayotozwa na mabenki na taasisi zake, Bunge lilielezwa jana.
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi...
Wanajukwaa naomba msaada nifahamishwe jinsi ya kujiunga na huduma ya mobile banking ktk benki ya ACB. Nikipata msaada mapema ntashukuru maana it's kind of an emergency
Attention ambitious, motivated entrepreneurs and those with network marketing (MLM) experience in Tanzania! Don't miss this chance to listen to and learn from legendary home based business...
wakuu nahitaji kufahamu, namna mbalimbali za kufnya ili nisajili biashara
Nina jina la biashara, nataka nilimiliki kabisa
biashara yangu inamalengo mapana kwa maana itaanza kidogokidogo kutokana...
wadau,
nilienda wenye ofs za T-pesa kuulizia utaratibu wa kupata huduma hii (kuwa wakala) nkajibiwa kuwa huduma hii imesitishwa, labda kama kuna m2 anayetaka kuuza laini yake unaweza kununua...
"Meghji alia riba benki zinaumiza wakopaji"
'Mfano hata sisi wabunge hapa tunashindwa kupata mikopo hiyo wakati tunajulikana tunaishi wapi, tunafanya nini na tunalipwa nini lakini bado ni...
TPA wameanza kutekeleza amri ya Mh.Mwakyembe aliyoitoa bungeni hivi karibuni na kuwapa watendaji PTA mpaka tarehe 1 wawe wameanza utaratibu mpya vinginevyo wapeleke barua za kujiuzulu!kuwa mteja...
We see white men in Tanzania participate in the most important parties in economic, are they real here to help rebuilding our economy or they are just here to fetch all resources that a poor...
Ninayo toyota rav 4 ya mwaka 2007,nilikuwa safari narudi nakuta vibaka wamesafisha gari, wameiba Front Bamper,Taa za mbele,side mirror zote,power window,control,radio na Ac control
je nitapata...
HABARI YENU WANA JF! NATUMAIN UWAZIMA
Msaada wadau nataka kufungua kmpuni inayo deal na Land Survey, GIS , Land Evaluation pamoja na QUANTITY SURVEY,
THE NAWEZAJE NIKAPATA KAZI AU TENDA KATIKA...
Msaada wadau, kuna mtu yeyote mwenye experience na biashara ya Barbershop hapa mjini anieleze gharama halisi ya ku set up a modern barbershop kwa sasa inaweza kugharimu kiasi gani na estimated...
IGWEEEEEEEEEEEEEE
Ile vita yangu na mkakati wa kutokomeza umasikini wa fikra na mawazo mgando unaendelea! Leo tunaanza episode 1.
Bwana X (Amegoma nisimtaje jina) ni muajiriwa wa wizara ya Y...