Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Huu ni wizi mtupu! Ninajua watu wa Kagasheki wanapita humu. Naomba mkamwambie. Kila mahali sasa mnangáta bila kuangalia. Miezi michache iliyopita Wizara ya maliasili na utalii ilituma pendekezo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mtu mwenye utaalamu na IPAD au SAMSUNG PAD ambayo ndio nzuri na ya kisasa ziwe na nini na nini ili iwe latest? Na je zinafika bei gani kwa hapa tz?? Naomba mnisaidie wenzangu.
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Wakuu! habari za jioni. Naomba kuuliza kama kuna yeyote amewahi kufanya transactions/kununua phones ONLINE kwa hii Company called TELECOM ARENA GENERAL TRADE "Omar bin Al Falah - Sales Manager"...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Naomba kuuliza kwa wale wataalamu na wanaoujua, kuwa je bei ya kiyoyozi 'wall split' ni kiasi gani ya vyumba vifuatavyo: 24 sq meters na 15 sq meters? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wanajf Katika pitapita zangu mtaani kuna nyumba moja imenivutia sana kwa jinsi ilivyojengwa,ni nyumba ya gorofa moja, mchoro wake na design yake vimenivutia sana. Tatizo ni kwamba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!! Episode 3. Historia ya Burning the bridge concept!!!!!!!!!!!!!! Wakati wa vita kuu vya pili vya dunia, katika moja ya uwanja wa vita, jeshi la Manazi wa...
25 Reactions
32 Replies
4K Views
Mitandao mikubwa kama Facebook na Google hupata revenue zake kupitia matangazo yanayokuwa displayed. The more visitors you have the more revenue kama unatumia pay per impression au hata kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear JF Community members especially those Milling Technologist and other members, I am looking to start a large scale rice milling plant in Bunda district here in Mara - Tanzania. I want to set...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau wapi inapatikana mbegu nzuri ya nguruwe kwa ajili ya kufuga kwa dar?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hivi wale jamaa wauzaji wa karanga mitaani au say wale wa samaki, wanapokuwa kazini na inatokea wakabanwa na haja ndogo au kubwa yale makapu yao huwa wanayaweka wapi wanapoenda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kwa muda sasa nimekuwa nikishangaa kwa nini Bhakresa kaamua kuweka nembo zenye picha za msikiti na maneno ya sara za kiarabu kwenye label za vinywaji vyake? Nilikuwa naona zile Azam Malt...
4 Reactions
77 Replies
12K Views
DAR ES SALAAM, May 21, 2013 – Tanzania and its East African neighbors could boost their annual Gross Domestic Product (GDP) by up to US$1.8 billion and US$ 830 million respectively by taking...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
A LEADING cellular phone firm Vodacom Tanzania paid a total of 36.5bn/- in corporate tax in the 2012/2013 financial year. The Managing Director of Vodacom Tanzania, Rene Meza said in a...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Wakuu nataka kuagiza gari toka Japan, gari yenyewe ni SUZUKI SWIFT ya mwaka 2004, nimeona kwenye mtandao FOB ni $2035, naomba wenye uzoefu mnisaidie japo kwa makadirio itanigharimu kiasi gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana tarehe 2 kampuni ya African Barrick Gold mine ilifunga operation zake katika mgodi wa tulawaka kati ya migodi mitatu inayomiliki. Migodi iliyobaki ni Buzwagi, bulyakyulu na mgodi wa tarime...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Don't waste your time talking politics while others are enjoying their lives with money without politics. See how this Tanzanian poor woman who became a millionaire just by buying and selling...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!! Episode 2! Niliposema naanza vita vya kupambana na fikra za umasikini na mawazo mgando watu walijua labda nabeep! ama nimekurupuka, ama nitakata tamaaaa...
26 Reactions
58 Replies
9K Views
Habari zenu wadau? Natafuta mkopo wa 25,000,000 Tshs. Nina nyumba yangu iliyokwishanigharimu si chini ya 45,000,000 Tshs. Iko PUGU VIWEGE. Imo ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa 30X30m. Ina vyumba...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Tanzania Revenue Authority commissioner general Harry Kitilya at midweek called a news conference in his office to explain why the tax collectors put levy a surcharge on goods originating from...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Makampuni ya kuuza gas yanazidi kuongezeka lakini baado bei iko juu kutokana na kipato cha mwananchi. Ni kama vile makampuni ya mafuta yamechungulia issue kwenye biashara ya gasi ya kupikia.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…