Kama ni kukatishana tamaa basi, sikutaka kukubali kutokana na sifa ambazo baadhi walio na vyombo hivi wanivyonishawishi.
Niliagiza nikaipata, ni gari nzuri, inapanda milima, inapasua tope...
Wakuu hivi ni bidhaa gani zinaruhusiwa kuingia nchini mwetu bila kutozwa kodi (import duty/VAT)? nimejaribu kupitia website ya tra sijafanikiwa kuona hii kitu. Mwenye kujua tafadhali anijuze, hata...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei amechaguliwa kwenye mchakato wa kumtafuta Kinara wa Benki Afrika kwa mwaka 2013.
Mchakato huo unaendeshwa na African Banker Awards...
Inajulikana sasa kuwa nchi nyingi za Africa zinaibiwa kwa mikataba mibovu ambayo imejaa rushwa na kuwa faidisha wale wanao weka sahihi mikataba hiyo.
Tukiongelea suala hili tunakumbuka sana...
USTA Financial Agency Ltd wanatoa mkopo kwa dhamana ya magari.
Kuna mwana-Forum yoyote anajua kuhusu kampuni hii na hiyo mikopo ya dhamana ya magari??
Huwa naona matangazo yao kwenye magazeti ya...
Wakuu kuna gari nimeipenda, ila ni ya mwaka 2003, wasiwasi wangu ni je ina kodi ya uchakavu? nimepitia nyuzi za magari pamoja na website ya tra lakini sijaelewa namna tra wanavyohesabu hiyo miaka...
Kwenu waungwana na wadau,wachambuzi wa mawazo ya kiashara,Ninalo wazo la kibiashara linalotokana na ujuzi na uzoefu mkubwa ktk biashara hiyo,natafuta anayeweza na kufanya wazo langu kupata mtaji...
Apple and Samsung Electronics are sucking up every penny of profit in the handset business. But Samsungs mobile business is growing fast, and the question is: Could it surpass Apple in profit...
Nimeikuta Inbox yangu ya Yahoo!
jueves, 9 de mayo de 2013
21:30 - 22:30 (GMT+05.30) Chennai / Calcuta / Bombay / Nueva Delhi
De:fileo378@yahoo.com.mx Mensaje: DIAMOND BANK WESTERN UNION...
Thu, May 2nd, 2013
Headlines / Tanzania |
BG Tanzania announced that it had completed another successful drill stem test in offshore Tanzania about 45-kms from Mtwara, with tests on the Mzia-2...
Habari wanaJF,
Shirika la Youth For Africa (YOA) likishirikiana na wadau wake linaandaa tuzo za kwanza na kubwa zaidi Tanzania zinajulikana kama Under-30 Youth Awards. Tunapokea Mapendekezo ya...
ili kuleta ushindani wa huduma na kuondoa uwajibikaji mdogo nivema kama kutapatikana tawi la benk ingine mfano CRDB AU NBC..ila kama lipotawi moja tu mambo mengi yanafanywa kimazoea tu.
Wed, May 8th, 2013
Williamson mine at Mwadui in Shinyanga Region is on diamond production boom following major rehabilitation to its treatment plant.
According to interim management statement...
Nahitaj kununua pikipiki kwa ajili ya matumiz yangu mwenyewe.Napenda kujua bei za boxer BM150 au platinum ya cc150 kama ipo.Pia process za kuilipia mpk inaingia barabaran ni kias gani?Anayejua bei...
hi wana J.f.
Nimeajiriwa mahala fulani, lakini hadi sasa napokea kwa kutumia bahasha. Nimeanzisha biashara yangu kwa mwezi mmoja sasa ninahitaji mkopo kwa ajili ya kupanua biashara yangu. baada ya...
Chupa hii ni ya kinywaji, mzalishaji kaamua bei ya mlaji iwe shilingi 1,100/= kwa nchi nzima, hivi sasa inauzwa shilingi 1,500/=. Wenye baa wanalalamika kuwa walikuwa wakinunua crate shs 21,600/=...