Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mshindi wa droo kubwa ya vodacom mahela mil 100 ametangazwa hivi punde ni mwanafunzi binti wa mwaka wa pili chuo cha ualimu Kasulu mkoani Kigoma, nasikia amezilai
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SPECIFICATIONS Location: YOKOHAMA, Mileage: 99,357,Registration Year/month:2000/4, Grade: ZR,Chassis #: H71W-0100862, Engine Size: 1,830cc,Engine Code: 4G93 TOTAL PRICE = FOB Price + Shipping...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini wote muliopata hamasa kusoma nilichoandika. Mimi niko na biasha fulani ambayo kwa sasa ipo vizur kwa kiasi. ila nataka kuanzisha line nyingine ya biashara ila swala lamtaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndege za kamatwa na kushindwa kuruka madeni,kioko awakimbia awaacha katika hali taabani. Wafanyakazi walipwa nusu mshahara,waanza kupunguza route,wameshidwa kutoa huduma nafuu kwa wananchi...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa wadau na hayo madini namba 1 na 2 yanapatikana nchi gani? Na yana kazi gani??
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tumekuwa tukizungumza kwa muda mrefu kuhusu customer service hapa jamvini. Leo nimeangalia kipindi cha Ruka Juu cha ITV, kwa kweli nimekuwa impressed. Hii ndiyo elimu ambayo wajasiria mali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Imekuwa ni wimbo wa kila mtanzania, kuwa hela imekuwa ngumu kupatikana, biashara haziendi wadeni wangu, wameshindwa kunilipa kwa zaidi ya miezi mitano sasa. Swali: hali hii ina sababishwa na nini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gwiji la uchumi na maendeleo duniani joe stiglitz amewatolea uvivu wafadhili wanao liangamiza bara la afrika kwa kisingizio cha demokrasia. Professor huyo aliyewahi kuwa mshauri wa uchumi wa rais...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A least three million certified professionals will be needed by the Ministry of Communication, Science and Technology in the next three years after establishment of a commission to oversee cyber...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
The Tanzania Revenue Authority (TRA) is planning to install electronic fiscal devices (EFDs) in all upcountry buses to enhance revenue collection. The move is also meant to put an end to...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Nataka biashara ya kufanya kwa 1mil to 2mil
0 Reactions
29 Replies
6K Views
nina ka frim kangu nashughulika na mambo ya ushauri na hasa kwa biashara ndogo na za kati sasa ninina mteja anahitaji ni wapi anaweza kupata chemical hizi hapa carborundum mesh 120mm, carborundum...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita nilikuwa Jijini Mwanza ambapo niliweza kupata burudani kadha wa kadha kutokana na hali ya hewa niliyoikuta huko ukilinganisha na joto la Jijini hapa Bongo. Lakini pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
how would you lose,if you spent less on money and more on the happiness.In addition i want to know the explanation of the term LOVE MONEY.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeonelea ni vema tukapeana benki ambazo unaweza kufungua akaunti na Paypal na ukanunua vitu mtandaoni. Exim najua wana master card ingawa sijajua details (sio mteja wao) lakini kwa kuwa ni...
2 Reactions
52 Replies
10K Views
Wana JF, Nimekuwa nikipata taabu kidogo na kadhia ya TRA wakati wanapokuja na mdali wao kufunga vibanda kwa ajili ya kukusanya Tzs.60,000/= za kodi na pamoja na faini ambayo ni Tzs. 35,000/= zote...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Looking for title deed,mchakato wake unakuwaje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rejea mada tajwa hapo juu. Kunekuwa na wimbi la watu Kadhaa wenye mitaji lakini wanHitaji mawazo ya biashara,mada ya leo inalenga kujadili moja wapo ya wazo la biashara linaloweza kuwafaa wengi...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
THE PEOPLE'S BANK OF ZANZIBAR (PBZ LTD) MAKES A CLARION CALL TO TANZANIANS LIVING IN SWEDEN TO USE THEIR LOW FEES REMITTING SERVICES! Ahead of the meeting of Tanzanians living in Sweden on...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania currently produces more than 1mn tonnes of rice, which makes it the second largest rice producer in Africa after Madagascar, which produces about 2.5mn tonnes. However, local authorities...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…